@Thommunkondya Tamanio la muda mrefu la wananchi wa Tanzania ni kupata katiba mpya natumai utafutahi sana ikipatikana kama ulivyofurahi kada mwenzio kupata mtoto ndugu mheshimiwa.
Claude & ChatGPT now have access to millions of faceless YouTube channels..
So I created 3 advanced prompts that will:
> find you untapped niches
> create you a script writing profile
> and generate viral ideas
Retweet + comment "PROMPTS" and I'll send you the free doc (must follow)
@chapo255 Ila kiuhalisia Bibo na Baghdad muda ulishawatupa mkono there's no way wanaeza fanya kitu kikabamba generation hii kama kipindi walivyokuwa wa moto.
I’m giving out my YouTube automation strategies that work + some free tools.
You have 24 hours to get accepted.
Follow, like, repost, and comment “FREE,” and I’ll DM you the access link 👍
Kuna raha ya pekee sana kuamka na kuswali Swala ya Alfajiri. Ni njia nzuri ya kuianza siku kwa utulivu, nuru na baraka. Ukifanikiwa kusimama mbele ya Mwenyezi Mungu mapema alfajiri, umeianza siku yako katika nafasi ya neema kubwa.
#Alhamdulillah
@EduTalkTz Utajiri ni mtihani, umasikini nao ni mtihani. Madaraka ni mtihani, udhalili nao ni mtihani. Ili wakati wote, ujue yupo YEYE awezaye kufanya lolote wakati wowote ukawa masikini au tajiri, ukawa dhalili au mwenye madaraka. Ni mtihani tunapewa. Tunapojisahau, hapo ndipo shida huja.