@Sativa255 Mweshimiwa @vitus amerusikitisha wengi alikuwa mtu muhimu sana kwa chama chetu naungana na RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO kulia kwa kuondoka mh vitus
Jaji Mkuu Dkt @WMutunga alisoma digrii mbili, LLB & LLM, UDSM, zaidi ya miaka 50 iliyopita.
Ni Jaji wa heshima ya daraja A duniani.
TZ ilipaswa kujivuna kuzalisha mwanazuoni wa aina yake. Na kumtendea kwa adabu.
Kumzuia kuingia TZ na kumrejesha KE kilazima ni suala la kujutia!
@Sativa255 Mweshimiwa @vitus amerusikitisha wengi alikuwa mtu muhimu sana kwa chama chetu naungana na RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO kulia kwa kuondoka mh vitus
Rais @SuluhuSamia najua unaona hizi meseji au watu wako wa karibu wanaona. Diaspora inahitaji yafuatayo:
1) Katiba na Tume Huru (siyo hii ya sasa)
2) Sheria za uchaguzi ziboreshwe ili haki na demokrasia zishamiri
3) Kesi ya UHAINI ya @TunduALissu ifutwe
4) Mdude Nyagali, Deo Soka na wale wote wanaoshikiliwa kinyume cha sheria waachiwe
5) Uraia pacha uingizwe kwenye Katiba na siyo special status
6) Vyama vya siasa hasa @ChademaTZ2 ambacho kinaandamwa sana na serikali yako viachwe vifanye shughuli zake bila bughuza kama vile @ccm_tanzania ambavyo haibughuziwi
Huu utakuwa ni mwanzo mzuri kama mambo haya yatatekelezwa kwanza.
@ikulumawasliano mumsogezee hii message mama aione! Najua amewapa maelekezo leo kuwa mjibu madukuduku ya watu.
Madam President @SuluhuSamia
Ni rahisi tu,
Ondoa Mabalozi wako katika nchi zao.
Futa mikataba yote ya kimataifa ambayo nchi yetu imeingia na nchi zote duniani.
Halafu ichukue Tanzania ipeleke kwenye safari ya Jupiter ukaishi huko kwa kadri utakavyotaka.
Tanzania’s President Samia Suluhu has given the green light to the country’s national security agencies to take firm action against foreign activists she accuses of bringing “bad manners” into the country, just hours after Kenyan nationals were deported.
Tundu Lissu Kizimbani:
Mwanasiasa wa upinzani Tanzania afikishwa kortini
Mwanasiasa huyu ashtakiwa kwa kosa la uhaini
Amefikishwa kortini kisutu chini ya ulinzi mkali
#CitizenNipashe@swalehmdoe
Jamani eeeh, nikichapwa risasi au lolote likinitokea huku Marekani msipoteze muda kutafuta alienitoa roho? ni serikali ya Tanzania iwajibike…..
.
.
lol, hivi hii mijitu inatakaje? Itaka Watanzania wote tu accept kuw CCM ni Mungu wetu au?
Project ya Bashite hiyo Masaki. Anadondosha bonge la mansion. Leo hii alikuwa site anasimamia…
.
Hawa watu ndo maana wako tayari kupiga na kuua watu ila sio kuachia madaraka. Yani ikibidi wataua hata nchi nzima ila sio watoke madarakani. Maana wanajua siku wakitoka madarakani mali zooote hizi zinataifishwa na kurudishwa kwa wananchi.
.
Yani ni mwendo wa kuchaguliwa Marais tu na chama ni CCM lazma kibaki madarakani.
.
Haya wale majinga wanaosemaga Bashite anapiga kazi, ni kiongozi anaejua kazi, kazi yenyewe ndo hii ya kuiba kodi za wananchi na kujenga mansion Masaki?
.
Huyo Bashite toka kafika Arusha anaishi Grumeti presidential suit, hivi ni sheria gani ya nchi inaruhusu kiongozi kupokea gifts kama hizo ???
.
Eti maisha magumu TZ, maisha magumu kwenu wanyonge, wenye nchi yao mambo kama hivi. Na akitoka site anachukua mic 🎤 anahubiri amani bila aibu yoote. Yani Amani wanaitaka ili waweze ku enjoy na family zao mali za wizi kama hivi
This is nothing but uhujumu uchumi, ufisadi, uonevu, rushwa, udhulumat etc. CCM inatuma barua hizi za kuomba pesa za uchaguzi kwa makampuni binafsi, hivi kuna kampuni itakayodhubutu kutokutoa michango? Hivi kuna kampuni itayo dhubutu kukataa kutoa michango kwa CCM?? Alafu wakishawapora wafanyabiashara pesa kama hivi then wanacheka upinzani kuchangisha wananchi kwenye tone tone.
Jamani amkeniiiiiiiii, njooni muone kwa nini watu hawataki kuachia nchi….
Haya wananchi, kama mnakumbuka kipindi cha Magufuli Lugumi alitolewa kabisa kwenye system ila kwa sasa Lugumi ndio anatumika kwa kiasi kikubwa na Abdulna Rais wa nchi kwenye kufanya ufisadi. Yani ni Raisi wenu kupitia Lugumi wameamua kuingilia idara nyeti ya ununuaji na uuzaji wa silaha na kwa kupitia hapa wamekua wakijipigia pesa kama hizo mnazoona hapo. Yani kimama ndio anapambana Lugumi alipwe mabilioni ya pesa za walipa kodi. Yani malipo ya Lugumi yakichelewa kimama anapiga simu personally kuwa alipwe, na Lugumi akishalipwa pesa anabeba Abdul.
Juzi kulikuwa na kikao kuhusu hili deni ambalo mpaka sasa watu wa majeshi hasa usalama wa taifa wanashangazwa na huu ulanguaji wa silaha za nnchi kitu ambacho kilipaswa kua siri sana leo inapewa taasisi binafsi. Kwa kifupi hili dili lote ni la Abdul. Mnaambiwa Usalama wa taifa wanatoa macho tu.
Sasa kwenye kuhoji kwa kina matumizi sahihi ya hizi pesa zilizopitishwa april 2024 na kulipwa awamu mbili cha ajabu. Simu zinapigwa kutoka juu( katibu wa ikulu) na kuambiwa wanaohoji hawana mamlaka ya kuhoji kwani dokezo jipya linatakiwa kulipwa tena mwezi huu kwa awamu ya pili.
.
Hizo 15 Billion Mama alizosema wapewe usalama ndio pesa zilizotumika na usalama ili kuteka watu na kuumaliza upinzani. Yani hizi pesa walipewa wakuu wa Usalama ili wakadili na upinzani na watu woote wanaokosa serikali.
.
.
.
@samia_suluhu_hassan @ccmtanzania@polisi.tanzania come say this is fake again… Wapumbav zenu watu wamechoka ufisadi wenu sasa wanaachia documents tu liwalo na liwe. Wako tayari kufa ili wakomboe nchi…
.
.
Lugumi nisamehe ulishanisaidiaga huko nyuma ila sasa tuko kwenye ukombozi wa nchi
Kesho tarehe 20 Mei 2025 Mwanasheria Mkuu wa Chama Dr. Rugemeleza Nshala atazungumza na watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari, utakafanyika Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam kuanzia saa nane mchana. Waandishi wote wa habari mnakaribishwa
Yanayoendelea Tanzania ni kama yanayoendelea Kenya na Uganda: Jaji David Maraga, Jaji mkuu mstaafu wa Kenya akiongea na #DW kuhusu masuala ya hali ya kisiasa Afrika mashariki, kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu, na uamuzi wake wa kisiasa nchini Kenya.
Una maoni gani?
Tanzania inafaa kujikomboa toka kwa uongozi dhalimu Wa Huyu mwanamke anayejiita mama. Mama yupi huua watoto wake kiholela? Samia Hana Suluhu kwa Watanzania!
Donald Deya, CEO Pan African Lawyers Union, PALU: We have got to separate the Tanzanian people from the Tanzanian government. Do not blame the Tanzanian people for what the present Tanzanian government is doing. We’ve got to tell Mama Samia that it is we the people who own the region, you get to run it. The fact that you get to run it does not mean that you own it; we the people own it. We will continue expressing solidarity to each other, mpende msipende #CitizenMondayReport @TrevorOmbija
This man is heavily protected by the ancestors of this land, he has divine spiritual backing. And I pray he accomplishes what he came to do in this time and age. Hadi goosebumps🙌🏾
Thank you my brother @HEBobiwine.
As East Africans and Africans in general, we remain one united people. We should not be divided by borders drawn up by colonialists. Forward with the struggle forward! ✊🏽✊🏽✊🏽
Yall laughing and overlooking one thing, she admitted that she’s doing it and is not going around the corner 👏👏👏👏 huyu mumama ni dictator wa kiajabu nahurumia sana Watanzania wenye bado hawaoni shida lol
Urgent Update: Boniface and Agather are being interrogated by one of the most brutal police officers, Mafwele, at central police station, who is renowned for torture. They are trying to force him to deleted previous tweets and issue a public apology for calling Suluhu a dictator and they are currently in very dangerous hands of this officer who is extremely notorious for torture.
As we pray for their safety, let us continue pushing for their immediate release along with all political prisoners! This is no longer an immigration issue.
#FreeBonifaceMwangi
#FreeAgather
#FreeAllPoliticalPrisoners
#FreeTunduLissu
#EACUnderSiege