@FKihamu kuwa mpenzi na shabiki wa simba ni mzigo mchezaji mechi 11 no goal lkn anavyo imbwa aisee nakumbuka maneno ya rage alipo kuwa mwenyekiti wa simba alikuwa sahii 100%
"One cannot start one's life over every morning, but one can start a new day, with a clean slate, with new hopes. One can find the promise of a new day and also miracles, because miracles always exist. Even when we don't think about them."
Happy new day dearsโค๏ธ๐
@Mzeewajambia mchambuzi nzala bana ingekuwa kwa mchezaji wa yanga story ingekuwa tofauti na ninyi wenye njaa ndo mnaipoteza simba maana mliipa ubingwa mechi zikiwa zimebaki 15