@millardayo Magariengi Mwanza ni mabovu hasa ya kubeba mizigo na abiria,gari hazina taa za nyuma,pikipiki bajaji za abiria na mizigo na wanaendesha vile wanataka wao!
Nyasaka Center bajaji za mizigo na bodaboda wanaweza kupaki na kuziba njia na hakuna wa kuondoa