Ani uyu tajiri mpaka kuna mda mashabiki unatukera sana kama unaona transformation haijakamilika jiulize maswali kwann haijakamilika then uje na majibu ya kutatua ili ikamilike.
Am really tired unapoandika mambo aya mitandaoni ni vyema ukakaa na viongozi mkatatua aya mambo.