@TBoundBuses Osaka n kampuni iliyokuwa inapendwa njia ya musoma dar,geita dar ila unapanda leo unafika dar j3 wakiamisha garage wakaweka ndani ya gari๐
@DavidKampista Alikamwe aliyataka mwenyewe kuwambia azam wana hela ya ubuyu hawawezi kununua fei wakaona chochote wanaweza kufanya ๐๐kabla ya kuja clabun wakadili na fei kwanza