@mshambuliaji@HecheJohn Kaka unajua n kwa nn amekana kwa sababu kashajulikana n mpinzani wa mama Sasa anaogopa karuka ha ha ha ha ha daadeki zake ubaya ubwela
@killo_killo11 Kama unamilik manzi hujawahi mnunulia jez alafu anavaa jez anasema hua ananunua mwenyewe basi bro nakushauri nenda kaapime kama umenusurika basi pita kushoto huyo sio wife mature
@millardayo Sijawai kumpinga sio kwamba Hana kasoro ila bana mh:Makonda bonge la mtu Yan hanaga baya Allah azidi kumsimamia kwenye harakati za kuiongoza nchi