JINSI YA KUTENGENEZA BET BUILDER.ππΎ
Hii style ya kubet ndio iliyotupa utajiri wengine msimu ulioisha.
Hapa unabidi ucheze matukio manne tofauti ambayo hayafanani kabisa.
1. Ukichagua kucheza magoli (Over / under) inaamaanisha usichague tukio lingine linalohusisha goli.
Mfano: "scoring goal by kicking" hili tukio linahusisha goli na ulishachagua option ya idadi ya magoli kwahiyo halitakubali kuwa sehemu ya mkeka mmoja.
2. Ukichagua yellow cards kwenye mkeka wako inamaanisha usichague tukio lingine linalofanania na yellow card. Hapa huwaga ni moja tuu nalo ni FOUL.
Huwezi kubet yellow card kisha ukaunganisha kwenye mkeka wako tukio la foul kwasababu end product ya foul ni yellow card.
3. Tukio la tatu unaloweza kubet ni corner. Hili tukio pia lina matukio ambayo huwezi kubetia matukio yakawa kwenye mkeka mmoja.
Mfano: "shot on target" hili tukio haliweze kukaa kwenye mkeka mmoja wa corner kwasababu end product ya shot on target inaweza kuzaa Corner.
4. Throw ins: hili ni tukio ambalo linamaanisha mpira wa kurushwa hili halinaga changamoto sana. Ila ukiona limegoma baada ya kuongeza tukio lingine basi ujue hilo ndio tatizo.
So ukitaka kubet mkeka kama huu wa timu moja kuweka matukio manne tofauti basi lazima ucheze hizo option.
1. Goals
2. Corner
3. Yellow card
4. Throw-ins
Hii kampuni Kuweka pesa na kutoa ni kwa njia ya mitandao ya simu yote nchini.
JISAJILI: https://t.co/Ed02cR1yCl
Promo code: SATIVA17