Ukiwa mwanaume jitahidi uyaishi haya kwa 90%!
•Acha kuwa na aibu
•Acha kuwa introvert
•Wageni watakufanya tajiri
•Anza networking kwenye unachokipenda
•Fanya small talk kila mahali unapoenda.
Kwasababu;Hujui ni aina gani ya connections utakazounda baada ya kufungua mdomo.
Midomo iliyofungwa haipati chakula,Mzee!
Dear Bro's,Level Up!