Hakuna kinachomfanya mwanamume aonekane mwenye kuvutia zaidi kama uwezo wake wa kuishi maisha ya siri, kuongea kidogo, na kutumia muda peke yake akishughulikia mambo yake mwenyewe.
Church boys hili swala la kuokota ma loose ball hamta liepuka wanetu as long as mkiendelea kupumbazwa na kigezo cha mtu kuwepo kanisani kila siku za ibada akiwa na long dress pamoja na bible au shajara🥲.
Ukiweza kumchukulia kila unayekutana naye kama binadamu anayestahili heshima na stara, namna yako ya kuwatazama watu itabadilika, utulivu wako unapokuwa na watu utaongezeka, utapunguza tabia ya kudogosha uzoefu wa watu na hata pale mtu anapoonesha tabia na misimamo usiyoikubali, utajitahidi kuelewa simulizi usilolojua badala ya kuhukumu bila taarifa.
Ukiamua mwezi huu kuacha kuheshimu watu kwa sababu wanaheshimika na wengi—wana pesa, wanawafahamu watu fulani unaowahitaji, wana ujuzi unaouhitaji, wana elimu zaidi, wana majina makubwa, ukijitambulisha nao unaonekana mwenye hadhi zaidi—utaanza kumfanya kila unayekutana naye ajisikie kuonekana, kusikika, kueleweka, kuthaminika na kuaminika.
Ukitaka unaweza kabisa kuwa binadamu asiyetafuta watu nyakati za shida na uhitaji. Ukitaka unaweza kuwa binadamu asiyewatazama watu kama fursa za kufikia malengo yako. Ukitaka unaweza kuwaheshimu watu hata kama hawana hadhi inayoendana na ‘standards’ zako. Ukitaka unaweza kuwasikiliza watu hata kama hawaonekani kujua mengi unayoyajua. Ukitaka mwezi Juni ni wakati Sahihi wa kuanza kuheshimu watu kama binadamu.
Kama umewahi kuangalia vizuri chupa ya Bia ya Safari huwa imechorwa Nyumba
Ile nyumba haiko pale kwa bahati mbaya, ni kukumbusha urudi nyumbani baada ya safari, au baada ya kupata kinywaji.
Lock In Ndani ya Miezi 6:
• Mrudie Mungu
• Fanya mazoezi
• Jenga nidhamu
• Kula kwa afya
• No porn & punyeto
• No betting
• Epuka soda na energy
• Ishi kwa malengo yako
• Jifunze ujuzi mpya
• Jifunze sanaa ya ushawishi
Jinsi Ya Kujibadilisha Kuwa Bora: 👇🏿
A THREAD🧵
Ipe UBONGO wako namba;
>Mfano:
Badala ya kusema, kesho nitaamka mapema sana asubuhi.Kuwa specific, kesho nitaamka saa 5:45 asubuhi.
Sayansi inasema ubongo huchakata namba kwa urahisi na kusaidia kufanya maamuzi (kuchukua hatua) kwa wepesi.
Maneno matupu hufanya ubongo iwe mzito sana “Cognitive load”.