MAOMBI MAOMBI MAOMBI
Usikose maombi maalum ya kukuombea ubakie kwenye Baraka uliyonayo na pia kumwomba Mungu akuhamishe penye "njaa" na kukuweka penye "ghala la Chakula".
MUDA: Saa 3:15 Usiku huu
MAHALI: Bewisa TV Youtube
*USIKOSE KABISA*
Salaam ndugu.
Una maumivu ama jeraha nafsini mwako? Pole sana na Mungu akutie nguvu uvuke hapo.
Nakusihi sana, sikiliza huu ujumbe utakusaidia sana.
Bofya hapa 👇
https://t.co/PNilZZOifd
Barikiwa!
Shalom.
Naomba muda wako mfupi kwa ajili ya kusikiliza Neno hili na kuambatana nami kwenye maombi maalum.
Naahidi baada ya hapo utaona baraka ya ajabu kuliko unavyodhani.
Bofya hii link 👇
https://t.co/xcAKiAwjVo
🙏 Mungu akubariki sana!