Listen,
Wengi wetu humu, hatuna pesa, tunadaiwa, dili Zimefeli, mwenye Nyumba tunamkimbia, home Wana Ngoja tutume “kakitu kidogo” kazini hela Bado… na kuna wengine haya mambo yote hawaelewi, hawakutani nazo, wao mambo yametiki. Sote, sisi na wao, Tuna jambo moja, hatukati Tamaa!
Mapema leo katika Shule ya Polisi Tanzania, Moshi mkoani Kilimanjaro niliposhiriki Mkutano Mkuu wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi kwa Mwaka 2024 na Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Jeshi letu limepiga hatua kubwa katika kipindi cha miaka 60. Nimeendelea kusisitiza kwamba huduma bora za kipolisi kwa umma wa Watanzania zitatokana na kubadilika kifikra, usimamizi wa sheria na matumizi ya TEHAMA. Serikali itaendelea na kazi ya kulijengea uwezo kimiongozo na kibajeti.
Kazi ya Jeshi la Polisi ni kulinda raia na mali zao ikiwemo haki ya uhai ambayo inalindwa na Katiba yetu. Kote duniani kupokwa kwa haki ya uhai hukemewa na Serikali na kuhakikisha vyombo vyake vya ulinzi na usalama vinafanya uchunguzi na kupata majawabu, kama ambavyo nchi yetu pia inafanya.
Maisha ya mwanadamu yeyote yule yana thamani isiyomithilika. Katika hali yoyote ile uhai wa mwanadamu ni jambo adhimu sana. Uhai wa kila Mtanzania unalindwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama inavyoeleza katika Ibara ya 14. Hatuhitaji kuelekezwa na mtu yeyote jinsi ya kutekeleza jukumu hili kwani Katiba yetu tayari ina maelekezo ya kutosha.
Kama Amiri Jeshi Mkuu nimeapa kuilinda Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo ndani yake ipo haki ya kuishi, na kwamba nitafanya kila linalowezekana kuimarisha ulinzi na uhai wa kila Mtanzania. Katika hili sina muhali. Falsafa yetu ya 4R inalenga kutuleta pamoja zaidi kama Watanzania na si mwanya wa kuvunja sheria zetu na kuifarakanisha nchi yetu.
Huku Serikali na vyombo ya ulinzi na usalama vikiendelea kutekeleza jukumu lake la kulinda haki hii ya uhai, kama jamii kwa sauti moja tuendelee kukemea na kujali damu ya kila Mtanzania kwa uzito ule ule bila kujali ni nani, anatoka wapi, ama kundi gani. Uhai ni uhai. Tukemee pia uovu wa aina zote katika jamii yetu ikiwemo wale wanaopanga kuvuruga amani ya nchi yetu.
Mapema leo nilipokutana kwa mazungumzo na IGP Camillus Mongoso Wambura pamoja na Makamishna na viongozi waandamizi wa Jeshi letu la Polisi, Ikulu, Dar es Salaam.
AHMED UTAACHA NONGWA LINI, HAYA ZAKA POKEA POLE ZAKO
Mara baada ya Simba kuibuka na ushindi wa magoli 4-0 dhidi ya Fountain Gate afisa habari wa klabu ya Simba ametuma salam za pole kwa afisa habari wa klabu ya Azam fc baada ya kutolewa katika michuano ya ligi ya mabingwa Afrika
Taarifa hii inatapatikana katika #youtube channel yetu ya Kishamba media gusa #link katika bio yetu hapo juu
Mtangazaji ( @tedi_tino7 )
Cameraman ( @almas__adam )
#KishambaUPDATES
Kipa mpya wa Simba sc Moussa Camara ameungana na kikosi hicho katika mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo wao wa kesho dhidi ya APR ya Rwanda 🇷🇼
Mchezo huo ni moja ya burudani katika tamasha la Simba Day litakalifanyika kesho katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Tembelea channel yetu ya #youtube Kishamba Media kwaa taarifa nyingi zaidi
Mtangazaji ni ( @tedi_tino7 )
Cameraman ni ( @almas__adam )
#KishambaUPDATES
WE HUOGOPI, CAPTAIN KASHASEMA MSIMU UJAO UBAYA UBWELA UTAKUWA MARA TATU ZAIDI
Nahodha wa kikosi cha Simba Sc Mohamed Hussein amesema kiungo wa Yanga Aziz Ki amestahili tuzo mchezaji bora huku akisema msimu ujao wachezaji wengi wa Simba watakuwepo katika vipengele vya tuzo
Mbali na hayo Zimbwe amewashukuru wanasimba kwa kununua tiketi zote za Simba Day na kuwaambia kuwa wachezaji wanadeni kubwa kwa mashabiki hivyo watapambana zaidi
Tembelea channel yetu ya #youtube Kishamba Media kwaa taarifa nyingi zaidi
Mtangazaji ni ( @tedi_tino7 )
Cameraman ni ( @almas__adam )
#KishambaUPDATES
Jana lilitoka Tamko kutoka kwa Baba kuwa Leo Jumanne (Choose Day) ya November 12 iwe siku rasmi ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam kujichagulia Saizi Yao.
Baba alitoa nafasi kwa wapenda burudani kuchagua Msanii… https://t.co/4LiC86IBtw
#BabaKasema kesho ni Uchaguzi wa watoa burudani wa Kitanzania waliokidhi vigezo vya kutoa ile burudani ya #100Tanzania. Hapo pia utapata nafasi ya kuchagua Uwanja unaotaka tufanyie tukio hilo, pamoja na kiingilio… https://t.co/MXMjZ1y2tC
Fursa Leta Solution Weekend Hii Jumamosi Oktoba 19,2019 Itakuwa Makao Makuu ya Nchi Dodoma.
Ukumbi :Chuo Cha Mipango (Mwalimu Nyerere Hall)
Ni Kuanzia Saa Mbili Asubuhi. #letasolution#usichukuliepoanyumbanichoo… https://t.co/OWgThZD8jN
#BabaKasema Dodoma Dodomaaaaa...Mbukweni....! Wakali wa ngoma zenye vibe na kunyuka viwalo (Pamba), Jumamosi hii watatoa burudani ya #SaiziYako kwenye jukwaa la #TigoFiesta2019 ndani ya uwanja wa Jamhuri, kwa mtonyo… https://t.co/ZDDexNEndc
#BabaKasema Safari ya kihistoria imeiva. Kutoka Dar mpaka Dom siku ya Ijumaa. Miaka 20 ya kumuenzi Baba wa Taifa, na Miaka 20 ya Clouds kwa kushirikiana na Shirika la reli Tanzania -TRC tunakuletea safari kuelekea… https://t.co/eaHCjJ9yhA
#MakorokochoStudio1 @soudybrowntz Na Head Of Sales & Marketing wa (MCheza) mcheza_tz Mr bussi_ntua Mazungumzo Ya Kibiashara
#Shilawadu https://t.co/emPBrcIysz
Wazungumzaji wa kesho ni @sumamwaitenda mkurugenzi wa @fursa_tz , Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brig.Jenerali Maico Gaguti, @sebwa27 CEO wa @sebwa27 pamoja na Bwana @sebmaganga Mkuu wa maudhui wa @CloudsMediaLive na… https://t.co/uvZ87YXl77