Top Tweets for #letasolution
@DadaConso @MoruoKing Kwenye @fursa_tz #letasolution Mwanza kuna Dogo alikuja na lundo la vitu ambavyo amegundua vinaweza tengenezwa kwa magugu, na kila mmoja aliona kuna kitu kinaweza fanyika akishikwa mkono, nadhan hadi sasa @SumaMwaitenda na wahusika wanamsaidia kijana kumjenga.
"Tunawatakia Heri ya Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya 2020 Watanzania Wote. Tunashukuru kwa kuwa Pamoja nasi kwenye Semina za Fursa Mwaka 2019 Hakika Tuliweza Kuibua na Kuzitambua Changamoto na Zaidi Kuleta Solution " #letasolution #heriyasikukuuyanoeli

Jana tulihitimisha fursa 2019 leta solution Mkoani DSM baada ya kuzunguka mikoa 6 nchini. Kazi haikuwa rahisi na napenda kuwashukuru sana wadau wote waliofanikisha hili kwenye mikoa yote pia niwashukuru timu nzima ya fursa na wadau wote kufanikisha hili.
Ahsanteni๐๐ฝ
#LetaSolution

Since morning i Was at JINCC #fursa2019 #letasolution, great presentation from @SumaMwaitenda @J4Mtambalike et al, then mida ya baadae nikasogea mitaa ya K'nyama kunako @TOTBonanza, had a good talk with @BookMarttz People, @gilda_given and other good people. Such a good day.

"Kila nyakati zina ujinga wake, nyakati hizi kama vijana tukatae ujinga unaotuzunguka ili tusonge mbele.
Mkurugenzi Fursa
@SumaMwaitenda
#Fursa2019
#LetaSolution
#NjooNaSolution
#UsichukuliePoaNyumbaNiChoo

Hujachelewa bado
unaweza kufatilia darasa la Fursa kwa kupitia hashtag ๐๐
#Fursa2019
#LetaSolution
#NjooNaSolution
#UsichukuliePoaNyumbaNiChoo
@fursa_tz

Humu mitandaoni wapo watu watakusaidia kugrow
watafte na jinasabishe nao
Jifanyie Personal Branding "
Emmanuel Mtambalike
@VenturesSahara
@SparkSahara
#Fursa2019
#LetaSolution
#NjooNaSolution
#UsichukuliePoaNyumbaNiChoo
Sasa tuna mafundi mbalimbali
Mafundi mbao/magari/umeme na mafundi wa samani za majumbani,nk
Kinachotakiwa ni mteja kuwa na smartphone na kurequest huduma atakayo na atapata fundi husika na atawasiliana nae.
Mshiriki Fursa
#Fursa2019
#LetaSolution
#NjooNaSolution

Anaitwa Dr Elie V D Waminiani Mtaalamu wa Saikolojia, Philosophia na Theolojia Akizungumza na umati wa Vijana, wanawake na Wachakalikaji waliojitokeza kwa Wingi Semina ya Fursa 2019 inayoendelea Muda Huu Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere Posta (JNICC)
#Fursa2019 #LetaSolution
"Watu Wengi tunajikumbuka wakati wa shida. Ndugu Zangu Tunaishi kwenye Dunia ya Ushindani, Binadamu hawafurahii mafanikio ya wengine na Wengi tunapenda tutegemewe"
Dr Heri
#Fursa2019
#LetaSolution #NjooNaSolution #usichukuliepoanyumbanichoo
Bado Hujachelewa Kufuatilia Darasa La Fursa Kwa Mwaka 2019 Linaloendelea Pale Katika Ukumbi Wa Kimataifa Wa Mikutano Wa Mwalimu Nyerere Posta Mpya Au Unaweza Ukafuatilia Mubashara Kwenye Tv Yako Clouds TV
#Fursa2019 #LetaSolution #NjooNaSolution
"Watoa maamuzi wetu wengi wanatoa maamuzi bila takwimu "
Mshiriki Fursa
#Fursa2019
#LetaSolution
#NjooNaSolution
#UsichukuliePoaNyumbaNiChoo
Tusingoje mpaka tukose option ndo tuanze kufanya, muda ni sasa mimi na wewe wote tunaweza kuwa na tofauti tukiamua kuanza kufanya.
Mkurugenzi wa Fursa
@SumaMwaitenda
#Fursa2019
#LetaSolution
#NjooNaSolution
#UsichukuliePoaNyumbaNiChoo
@IALLAND0 Fuatilia hushtag hizi
#fursa2019
#CloudsTv
#LetaSolution
#NjooNaSolution
#UsichukuliePoaNyumbaNiChoo
Kusoma sana sio ndo kuwa na uwezo mkubwa wa akili binadamu tumezaliwa na uwezo mkubwa sana lakini muda mwingine Elimu inatuwekea mipaka ya kufanya vitu โDr.Elly.V.D Waminian,Mwanasaikolojia #KutokaUkumbiwaMwlNyerere #LetaSolution @fursa_tz @CloudsMediaLive @BRELA_Tz

Fikra ni hazina kuu, huwezi kubadili maisha bila kubadili fikra zako !! Fikra yako ndiyo hazina yako pekee uliyonayo. Na mambo yote yanayotokea, fikra inahusika
#fursa2019 #cloudsTv #LetaSolution #NjooNaSolution #UsichukuliePoaNyumbaNiChoo @fursa_tz @JosephKusaga @SumaMwaitenda
Fatilia darasa la Fursa linaloendelea hapa
Ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Nyerere, Posta
Kwa kupitia Hashtag hizi ๐๐๐
#Fursa2019
#LetaSolution
#NjooNaSolution
#UsichukuliePoaNyumbaNiChoo

Last Seen Hashtags on Sotwe
ifsa
Seen from Turkey
Monkeyapp
Seen from Chile
Denizli
Seen from Turkey
caolanh
Seen from Vietnam
pawb
Seen from United Kingdom
chilena
Seen from Chile
teacher #nolimit
Seen from Poland
anyage filter:native_video
Seen from United States
เธฃเธฑเธเธเธฒเธเนเธเธฃเธฒเธ
Seen from Thailand
femboy
Seen from India
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.3M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
110.3M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.6M followers

NASA 
@nasa
92.1M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
90.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87.5M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.3M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
72.8M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.7M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
69.6M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
63.8M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.5M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

X 
@x
60.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
60.6M followers






















