Katika hili la Julius Mtatiro, upinzani umepoteza. Nimemsikiliza, nimejaribu kumwelewa. Anapenda siasa ila huko alikokuwa hakuzifurahia. Sasa anakwenda kufurahia siasa ndani ya CCM. Ila Mtatiro nimjuaye mimi, hatapata hicho anachotaka. Kila la heri kaka!
NingefanyaTofauti
Na Zitto Kabwe
KWA miaka mingi nimekuwa mtu ninayeamini katika kujipa muda wa upweke na kutazama dunia iliyonizunguka na kujiuliza maswali ama kunihusu mimi binafsi au kuhusu nchi yangu na... https://t.co/cqBrlcf5QO
@humanrightstz Mmeshindwa kukemea sheria inayomnyia haki mfanyakazi kuchukua mafao yake bado mnajiita haki za binadam kwa kudandia hoja zenye mtizamo ya kisiasa tu.
Nadhani tuiunge mkono serikali kutekeleza sheria mpya ya Export Levy, baada ya msimu huu wa korosho tutatathimini kuona mafanikio na Changamoto,kisha tutashauriana maboresho yake au mabadiliko mengine! Lengo liwe kuendeleza zao la korosho kwa faida ya Wakulima na Nchi kwa Ujumla!
Ndg. Bashiru Ally Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi amepokea ujumbe kutoka Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) ukiongozwa na Komredi Song Tao Waziri wa Mambo ya Nje wa CPC.
Ujumbe huo upo nchini kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Kidunia wa Vyama vya Siasa, tarehe 17-18 Julai.
Photos of the week: a snapshot of Ministers at work in #Tanzania
I dedicate this to my dear dada @fatma_karume
Have a great week ahead everyone!
#ChangeTanzania
Maneno haya yanaweza kuchukiza kuyasikia lakini huu ndio ukweli mchungu. Tuna opposition dhaifu (udikteta wa Magufuli inasaidia kuficha udhaifu wa vyama hivi) na fake civil society iliyosheheni wanaharakati wanaoendekeza maslahi yao binafsi kuliko utumishi kwa wanyonge