Guyz wakizima mtandao download hii bitchat kila mkoa tutatumia hii kitu kwa Bluetooth hutuitaji data wala sms chukua hii now mapema
Repost kila mtu awe nayo now download now iweke active
Repost bila kuchoka ✌️ bitchat habari ya mjini
Fortunatus Buyobe amekematwa na askari kutoka Dar Central Police nyumbani kwake jioni hii. Hatujui wanampeleka wapi. Buyobe amekuwa akitafutwa atekwe sababu ya maoni yake. Huu ushenzi haukubaliki. Free Fortunatus Buyobe Now!
Watanzania tushavuka level ya kujadiliana kuhusu Maandamano ni HALALI AU SIO HALALI.
Kwasasa atakaetuzuia yeye ndie anavunja sheria na uzuri UN washatoa tamko kuhusu mipango inayopangwa ya kuzuia watanzania.
Wanangu TUTOKE KWA WINGI SANA #D9 NA MABANGO YETU USHINDI UNAKUJA.
Repost 200
#D9
#Disemba9Tunatoka
#SiriNiNamba
#TUTAKUWEPO🫵😎
Bajeti ya CNN ya utafiti, investigative journalism, digital investigation na kuhakiki ukweli wa mambo kwa mwaka ni usd 3.9 bilioni sawa na trilioni 10 za Tanzania…
Hii ni Bajeti karibia ya wizara 14 hapa kwetu.
Hizo pesa mkipewa mnaiba mpaka mchanganyikiwe alafu wewe Grishon unasema utawajibu!!!!
Unajibu nini sasa? Kwamba hamjaua watu?