Naweza kusema Dabi imeisha
Simba hii dabi nyingine kapoteza kizembe sana
Yanga kashaashinda nje ya uwanja
Dabi iliiisha ile siku yanga aliocheza game ya kirafiki na St George
Dabi ikazikwa siku ambayo sele kacheza under 23
ulikua ni mpango madhubut
Wachache tu ndo tunaelewa
๐จ๐ดโช๏ธ Christos Tzolis to Arsenal, here we go! Deal signed between the two clubs for โฌ40m fee, Club Brugge authorize Christos for medical.
New winger for Arteta as Tzolis only wanted Arsenal, saying no to other clubs. Deal done, as @dimitrismanakos reported.
๐ #AFC also working hard on Morgan Rogers behind scenes.
Mmeamua kubadilisha nilichokilenga.
Hapo nilimjibu mkeyenge ambaye alikuwa analalamika Simba kuchezewa rafu. Nikamuuliza mbona Libasa Gueye alicheza rafu mbaya na hakusema?
Au rafu zinazopaswa kukemewa ni za Singida ? Hili andiko liliambata na rafu mbaya alicheza Libasa Gueye
Nyie mmechukua kana kwamba nashabiki Simba kuchezewa rafu. Siku hizi nyie kama maharage ya mbeya kuwabadilishia agenda ni jambo jepesi sana kama kuyachochea tu yanaruka ruka.
Hiyo mipira unavyoiona miwili hapo ndivyo Babu Zimbwe alikua anaiona afu akawa hajui akabe upi๐
One V One kati ya Gueye na Zimbwe zote babu alikua anaachwa kirahisi tu๐
Hii mechi kama angeanza Boka mapema tu angekula Umeme hanaga uvumilivu yule, Sema Babu zimbwe kapambana sana msisahau kumpa Panado na Blufen kwa pamoja๐
Kuna muda Zimbwe akatoa mpira nje kama Fair play baada ya Loemba kulala chini, Fair play tangu lini kwenye derby mwanetu alitaka apumzike ๐คฃ๐คฃ
Staa boi wenu Okelo mtafutieji shanga tatu ili awe Gueye mtupu๐
Lamine Yamal has been called up with Barcelona first team to face Atlรฉtico de Madrid. Heโs 15 โ born in July 2007 ๐ต๐ดโญ๏ธ #FCB
Barcelona are already in contact with Jorge Mendes to prepare professional contract for Yamal, considered one of the biggest gems of La Masia.
Kuna kale kamwenendo kazuri kamaisha ulikua nako awali kabla life halijakuvuruga, kuanzia ulaji, mazoezi, muda wa kulala, aina ya marafiki, ukaribu wako na Mungu.
Hizo ndio tabia zako, sio hizi za sasa, unaweza kuzirudia na ukaishi kwa amani tena.