Nmeona videos za mzungu aliibiwa passport akapatana na jamaa mwingine wamekaa na yeye almost siku tatu. Kazi ni kumpigilia makali na maforeign tu.😂 Hadi kijana anajiita minister of foreign affairs.
Ndo hizi videos 👇😂
Play list yangu ya toka jana
1:Rapcha ft damian soul Dhahabu
2;Fivara ft Hard mard &Medy botion &chuse
3;Jamal coded ft One incredble &Zaiid.
Kama auja sikiliza hizi ngoma tatu bado ujachelewa ,weka play list yako ya ngoma tatu kali nione kama kweli wewe mnyama kama mimi.
Ndugu @ExMayorUbungo anatupitisha kwenye kisa cha ukweli cha kifo cha Naomi, ambacho ndugu Khamis Luwongo alimhadithia Bon Yai wakiwa Gereza la Segerea Dar!
Bon Yai anasema “Nimeishi naye Selo moja Segerea.
Kwa Mazungumzo yake hajaonewa wala kusingiziwa ila Jambo lake linamafundisho Mengi sana kuhusu Mahusiano na Ndoa” …
1.Somo la Kwanza Hamis walipendana sana na Naomi.
2.Hamis ni Muislamu na Mmakonde wa Mtwara lakini alibadili dini na Kuwa Mkristo.
3.Hamis alikuwa na Mgogoro na Mke wake swala la Kurudi nyumbani.
4.Mwanaume ndiyo alikuwa anachelewa kurudi nyumbani Saa 9,10 au alfajiri ya Saa 11 ndiyo anaingia nyumbani akiwa amelewa chakali
5.Mwanamke akapambana akashinndwa kumbadili Hamis hiyo Tabia.
6.Mwanamke na yeye akaanza Kukesha usiku nje kama Hamis naye anarudi muda wowote.
7.Siku ya tukio ni Hamis alikuwa ndani na Mwanamke ndiyo alikuwa amechelewa Kurudi nyumbani saa 10 za usiku
8.Hamis wakati anafungua Mlango alimuhoji Mke wake kuwa ametoka wapi usiku ule au ametoka kufanya Umalaya..?
9.Mwanamke alimjibu Mmewe kuwa Kama Hamis anaweza na yeye atoke akatafute Mabwana pia.
10.Wakati wote huu walikuwa Kibarazani hawajaingia ndani bado,Hamis alirusha Kibao ambacho hakikumpata Mwanamke
Ila Mwanamke katika Kukwepa akarudi nyuma na Kudondoka katika ngazi akapasuka kichwani na damu zikamwagika sana hasa mtu akiwa amelewa huku Hamis akishindwa kumpa msaada mpaka anakata roho
Hapo sasa Hamis anaanza kufanya kazi ya shetani Kujiokoa na Kesi…
To be continued…! (Part2)
Wiki hii, kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X, wakili Fatma Karume alichapisha maudhui yanayoelezea mgogoro wa mgawanyo wa mali baina yake na aliyekuwa mumewe.
Baada ya ujumbe ule, niliweza kuandika yafuatayo kwenye ukurasa wangu wa mtandao huuhuu👇
Nilikutana na wewe mke wangu ukiwa ni mwanachuo katika chuo cha Mwalimu Nyerere kigamboni.
Tukaanzisha mahusiano ya kimapenzi.
Mimi ni muislamu
Lakini mwaka 2008 nikaamua kukuoa kwa ndoa ya kikistru kanisa la Assemblies of God Upanga