@BroBabuu Kuna mabroker wanakatisha tamaa kwakweli. Nadeal na EA CAPITAL. huyu ni worst broker na i wouldnt recommend watu wamtumie. So unreliable. Kwny market sessions hashiki simu, mara hapatikani.. akipatikana anakutreat kama secondary. So so bad customer care 😡