@wazirimwambashi@MogellaPro@nyuki_malkia Hii ni kwa sababu zamani shell ilikuwa zipo sehemu nyingi Tz na ilikuwa maarufu sana sasa sabab ya mazoea ya naenda Shell, ndio maana mpaka sasa wengi kituo chochote cha mafuta wanaita sheli lkn chimbuko ni SHELL Company
@wazirimwambashi@MogellaPro@nyuki_malkia Tatzo wabongo tunapenda kuisha kwa mazoea sana. Shell ni company inayojihusisha na uuzaji wa mafuta na gesi kama ilivyo Total, Puma n.k ila wabongo sababu ya mazoea kituo chochote cha kuuza mafuta mostly wanaita sheli