Kuzimwa kwa intaneti hakuathiri tu upatikanaji wa data, bali pia kunapora haki, kunafunga fursa na kunakwamisha maendeleo. Tusizime intaneti ,tulinde demokrasia.
#MitandaoHuru#MyNetmyRight#ShieldyourClick@bintimakini
Internet shutdowns stifle progress, silence voices, suppress truth, and undermine democracy. Access to the internet is a right, not a privilege. Stop shutdowns, empower voices.
#MitandaoHuru | #MyNetMyRight | #ShieldYourClick
Internet shutdowns harm businesses, disrupt education, block access to vital information, and violate fundamental human rights. They silence voices, limit opportunities, and weaken democracy.
Let’s stand together and say a big NO
#MitandaoHuru | #MyNetMyRight#ShieldYourClick
Kazi yetu kubwa ilikuwa kupaza sauti kwa nguvu hadi Itifaki ya Beijing ikakubalika na kuidhinishwa na serikali nyingi duniani, ikiwemo Tanzania. Hatimaye, serikali yetu ilikubali kutekeleza maeneo 12 ya kipaumbele yaliyoainishwa katika Itifaki hiyo~Marry Rusimbi
#30YearOfBeijing
“Sisi kama wafeminia huwa tunaongelea hoja zetu ila hatujawahi kutaka kupindua meza na kabla ya mapinduzi haya inabidi tufiriki kwa kina sisi ni kina nani na tunafanya nini kwa maslahi ya nani “-Demere Kitunga
Tunasherehekea hatua zilizopigwa katika haki za wanawake katika miongo mitatu iliyopita,tukitambua sauti ambazo zimefungua njia ya mabadiliko.Tunajitolea kuimarisha sauti hizi na kuhakikisha kwamba zinasikika katika kila kona.
#30YearOfBeijing#IWD2025#CelebratingBeijing30
Napenda kuwashukuru mama zangu kwa Harakati zenu za Beijing hazikuzaa tu matunda kwa watoto wenu wa kike bali hata kwetu wanaume.~| Mh. Hamad H. Chande - Naibu Waziri wa Fedha.
#30YearOfBeijing#IWD2025#CelebratingBeijing30@WomenFund_TZ
Napenda kuwashukuru mama zangu kwa Harakati zenu za Beijing hazikuzaa tu matunda kwa watoto wenu wa kike bali hata kwetu wanaume. ~ Mh. Hamad H. Chande - Naibu Waziri wa Fedha.
#30YearOfBeijing#IWD2025#CelebratingBeijing30