@koku_shekya@AmourGingi Nimetoka kumuelezea mtu hili swala sasa hivi, ukienda mara ya kwanza unatajiwa tu loss report tena na yule askari mlangoni, ukirudi unaambiwa kalete viambatanisho kibao.. na hausikilizwi vizuri kuanzia mlinzi wa geti mpaka huko ndani ni wanafokea tu๐๐
@Sharb84@ayubu_madenge Na ajue utambulisho wa Askofu sio mavazi, ni pete zao mkononi na cheni ndefu ya msalaba kifuani.. hata wakivaa Tshirt na jeans lakini kama amevaa msalaba wake wa kiaskofu na pete kidoleni basi amekamilika
"Uje Roho Mtakatifu, uzienee nyoyo za waamini wako, washa mapendo yako, peleka Roho wako, vitaumbwa vipya na nchi itageuka." Roho Mtakatifu atupe nguvu tena ya kutenda sawasawa na uradhi wa mapenzi ya Mungu Baba na Mwana. Herini sana kwa Sherehe ya Pentecoste!