Today we celebrate the Great day together with my sister @ummilkheryassin following her birthday 🎂. Wishing you a blessed birthday 🥳
TOKOMEZA NDOA ZA UTOTONI WEKA AHADI
Kazi Inaendelea💪🏾@Sheria_Katiba, with support from @UNICEF🇹🇿 and @CanadaTanzania, is doing consultation meetings across the country to collect views on the amendment of the Law of Marriage to increase the minimum age for both boys & girls to 18. #ForEveryChild, a childhood
Napinga ndoa za utotoni kwa sababu, huwanyima mabinti fursa mbalimbali kama elimu na pia huwafanya washindwe kutimiza ndoto zao na kuwaweka katika hatari mbali mbali za kiafya kimwili na akili.
#binti#EndChildMarriage@BintiTZ2@UNICEFTanzania
BINTI DAY!! @uniceftz
17/09/2022 was a very special day for Binti wakitanzania as stake holders,CSOs and youths joined hands together agreeing to pledge and end Child marriage for young girls!
#bintiday#bintisiobibiharusi
Habari,
Je wajuwa kwamba wanawake 3 kati ya 10 nchini Tanzania waliolewa wakiwa watoto? Muda umefika kupaza sauti zetu na kupinga ndoa za utotoni. Ungana nami kutokomeza ndoa za utotoni na kuwezesha kila msichana nchini Tanzania https://t.co/sl0g6xOjB9 @BintiTZ2@UNICEFTanzania
Every girl has a right to an education, to shape their future & pursue their dreams.
I urge everyone to join the Binti campaign & pledge to never take part in any marriage ceremony for someone involving someone below 18yrs of age.
Take the pledge now 👉 https://t.co/DLn4yP1UwR
“Tunahitaji Jamii iliyo safi Ambayo itawezesha BINTI kulindwa na kufikia Ndoto zake, Tunaungana na Jamii ya Watnzania pamoja na Vijana Nchini kuhimiza Kupinga Matukio ya Ndoa za Utotoni, Tunakemea na Tunaahidi kupambana Pia”
Toa AHADI. https://t.co/SGsCjrr4yt
@UNICEFTanzania
Hongera sana “The African Art Group” kwa kutumia sanaa na ubunifu kufikisha ujumbe kwa jamii juu ya madhara ya ndoa za utotoni. Sanaa ikitumika vizuri inaweza kuelimisha, kukuza uelewa na kusaidia kutatua changamoto zinazoikumba jamii.
Binti Day - #NilindeKwanza.
“Jamii imekuwa ikiamini kuwa madhara ya ndoa katika umri mdogo ni kwa wasichana pekee. Huu ni mtazao hasi, ndoa katika umri mdogo zina madhara kwetu wavulana pia.” - Rahim
- Simulizi ya Rahim leo kwenye #BintiDay ina funzo, jamii ibadili mtazamo! #NilindeKwanza.
I’m are truly grateful to have a big family in Tanzania who devoted their efforts to their fullest potential to fight against early marriage and to amplify #ENDChildMarriage Unforgettable Champions in fighting for the better future.
I’m BINTI help me out, Take a Pledge Now.
The society should realize the potential of every citizen to be able to make his or her own decision and decide for what he or she wants.
#EndChildMarriage | #NilindeKwanza
Self esteem gives adolescent #girls choose to make right decision, we keep helping and strengtern girls esteem for better of their Lives.
At this transition age these girls needs our attention join effort and do something better 4them..
#ENDChildMarriage#supportgirl
“Signing the Binti pledge is simple but definite action that anyone should take as the commitment to end child marriage in Tanzania””- Mr. Zlatan Milisic (@ZMilisic), @UnitedNationsTZ Resident Coordinator
#EndChildMarriage | #NilindeKwanza