Salama Foundation is an NGO that is strived to create the future we want through serving community including young people for the sustainable development.
Chifu Shilumu kutoka serengeti mkoani Mara anasema kwamba,anaona mabadiliko makubwa ya kupungua ukatili katika maeneo anayotoka baada ya kushirikiana na Dawati la jinsia,jamii,serikali na viongozi wa dini.Tuendelee kuchukua hatua zaidi #TokomezaUkatili@GenderLinks#NoExcuse
16 days caravan reached in mbeya; Through integeneration dialogues, religious leaders emphasized the importance of moral guidance and community support in preventing teen pregnancies and addressing gender-based violence (GBV) #EndGBV#TokomezaUkatili#NoExcuse#16DaysOfActivism
Msafara wa kutokomeza ukatili wa kijinsia umepita chalinze na kuzungumza na wanafunzi,wazazi, wanaume na jamii kuhusu mbinu mbadala za matumizi ya mila na desturi zilizopitwa na wakati ili kuwalinda watoto wa kike zaidi. #NoExcuse#TokomezaUkatili#EndGBV#16DaysOfActivism
Mwananchi mwenzangu,hakuna maendeleo bila usawa. Tumia siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kuhamasisha usawa, amani na upendo kwa wote.
#TokomezaUkatili#16DaysOfActivism2024#EndGBV