Huyu JOSEPH YOHANA kutwa kutukana wanaharakati kupitia Press ambazo wanapewa fedha na ABDULI.
Pesa zenyewe wakizipata ndio kama hivi, jitu la miaka 50+ linaishia kununua SHISHA bar, na kulazimisha vitoto vidogo wakalale navyo.
Pesa za LAANA hakuna kitu cha maana mtafanyia wapumbavu nyie, hizo pesa zimejaa damu za ndugu zetu.
Ukimkuta huyu na shehe MWAIPOPO sasa wanajikuta watu wa dini na wanapambania Amani, kumbe ni WASHENZI tuu wanatafuta pesa za kuvutia SHISHA na kununua mademu.
MASWALI MUHIMU:
1. Je, kwenye MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA ya Tanzania kuna cheo cha SHEHE?
2. Je, kwenye MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA ya Tanzania kuna KIKOSI kinaitwa MBWA MWITU?
3. Je, kwenye MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA ya Tanzania kuna KAMANDA anaitwa SAIDI MWAIPOPO?
Serious question, hivi kweli CCM wanaangalia hii hali na bado wanadhani kuna possibility ya wao kuendelea kushikilia nchi bila ridhaa ya Watanzania??
Kweli Kikwete anaangalia hii hali na anaendelea kumdanganga kimama kuwa waendelee tu kung’ang’ania nchi kinguvu??
Mtanzania mwenye akili timamu akiona hii anajua kuwa kama haki isipopatikana haraka basi October 29 ITAJIRUDIA, ITS ONLY A MATTER OF WHEN, NOT IF!!!!!!!!!
#Tanzania
"An 82-page submission to the International Criminal Court by a group of civil society organizations [has] stated that the Tanzanian authorities killed more than 3,000 civilians following polling day [last October]."
https://t.co/dHCUchvlQU @euobs
Imagine being us..!!
Hapo hakuna kusombelea watu kwenye maroli kama ng'ombe za mnadani.
Hawa ni wapenda HAKI walioamua kushiriki mkutano wa wapigania HAKI (IBADA).
Na baada ya IBADA takatifu ya HAKI, wameshiriki kutoa SADAKA (TONE TONE).
IGA UFE.
REPOST 200.
Mamaeee HECHEE kajua kuhutubia mkoa wangu. Naangalia mpaka machozi yanatoka.
HII NDIO MBEYA MAMAE.
WATU WAPO TAYARI KWA MAANDAMANO.
WATU WANATAKA LISSU ATOLEWE HARAKA SANA #FreeTunduLissu
Hii ndio MBEYA.
Kitovu cha UKOMBOZI WA HILI TAIFA.
Tumepoteza ndugu zetu wengi sana MO29, leo tumekipokea kwa heshima CHAMA ambacho kinalia na sisi.
ASANTE CHADEMA.
#FreeTunduLissu
Homa ya MAANDAMANO ya 7/7 inazidi kupanda.
Watanzania wanataka kumaliza MISIBA ya wapendwa wao—wanataka wapewe miili ya ndugu zao waliouliwa kikatili #MO29
Hii nchi haitakuja kutulia mpaka watanzania wazike wapendwa wao. #77Tunatoka
REPOST 200
Moja ya kitu kinaninyima usingizi recently ni hili swala la wanaharakati kuwa wanalipwa!! (Kama ni kweli)🤔
Hizo taasisi au watu binafsi wanaolipa wanaharakati, huwa wanatazama vigezo gani kukulipa?
Influence? au Numbers (Followers)
au uwezo wa kuongea na kuandika au engagement ya social media au nini?
Binafsi nimeanza hii course ya harakati tokea siku namaliza form six na kutoa wimbo wangu wa kwanza Tanzania (2007) nikiwa very young!
Hadi leo nina Teremsha bunduki 2026!
Miaka 19 kwenye hizi harakati
NA SIJAWAHI KUPEWA HATA SHING 10 TOKA KWENYE HIZO TAASISI!!
WALA KULIPWA NA MTU BINAFSI ILI NIFANYE HIKI NINACHOKIFANYA!!
Na kuna muda unakuwa na uhitaji haswa, tena sometimes ni uhitaji wa kufanya projects hizi hizi za kusaidia hizi harakati….. you just end up using your own pocket money!!
Kwenye hizi harakati nakutana na challenge nyingi, nakosa opportunities na michongo kwasababu naonekana niko against na gavoo na kuna muda napoteza hata kidogo nilichobakiza!!
Nabaki empty hadi familia inakwambia si utemane na hizo mbanga……nawajibu I WAS BORN TO DO THIS!!
Ni kama roho/nafsi inakataa ku-give up!!
Tunafanya haya kwa passion,
kuna a driving force tu inatusukuma kutetea, kukemea, kushauri na kupaza sauti tunapoona haki inakosekana, maendeleo hakuna, rushwa na ufisadi kwa viongozi vinakithiri, umasikini unazidi kwetu sisi raia, uongozi na utawala mbovu, shida za ajira na miundo mbinu, watu kutekwa, kufungwa na kuuliwa bila hatia na kucreate awareness kwa raia kuhusu issue za kisiasa na kijamii etc.
Nikisikia mtu anasema kuyafanya hayo ni unalipwa…..nawaza nakosa majibu!!
Wanatumia vigezo gani kukulipa?
Hebu mtu anieleweshe pengine napishanaga na gari la mshahara!!
Followers ninao (1.3M) influence pia si haba nikitoa miwa inapokelewa mtaani!! MBONA MIMI SILIPWI?
Nways tusiache hizi harakati hata kama hazitupi pesa kwa sasa, faida yake mbeleni ni kubwa zaidi kwa nchi nzima na vizazi vijavyo!!
Kama nimeandika kwa hisia sana ee?😁
@EsirEid Sijui Mzito Anakwama Wapi
Vunja Baraza La Mawaziri
Fukuza Wakuu Wote Wa Ngazi Za Usalama
Timua Ma Afisa Wote Wa Ikulu
Mwachie Lissu
Futa Kesi Zote Za Kisiasa
Wape Ruzuku Na Malimbikizo Yao
Waruhusu Wafanye Mikutano Ya Kisiasa
Kwenye Kuteua Teua Sura Mpya Kabisa.
Ruhusu Hoja.
Hata Mwaka haujaisha tangu tumetoka kwenye machafuko na mauwaji ya October, hili tukio la kutekwa kwa Djumbe linatokea - kwanini lakini?
Nchi yetu ina tatizo kubwa kuliko hata tunavyofikiria 😞
Mashuhuda wanasema RCO na RPC walimuwashia moto sana, badae wakamwambia awafuate ili akatoe maelezo ya ziada so wakaingia nae ndani ya kituo cha Polisi.
Walipoingia ndani kuna baadhi ya Wanachama wa CHADEMA, walijiongeza wakawafuata wale Askari waliokuwa pale njee, wakawauliza kwani Buyobe ana issue gani kubwa mpaka kamuomba RCO asiiseme mbele yetu?
Wale Askari wakawajibu kwamba walipoenda kumkamata Buyobe nyumbani kwake Kigamboni alijitambulisha kuwa yeye ni ofisa wa TISS, wakamchukua na kuondoka nae kulekea kituo cha Polisi Chang’ombe.
Walipofika Polisi wakamuomba atoe password ya simu yake, akatoa wakaingia kwenye WhatsApp yake wakakuta anawasaliana na Mkuu wa Dawati la Siasa wa TISS, Thobias Mwesiga na alikuwa anampa info za watu mbalimbali,(Japo Mwesiga kwasasa kaondolewa kwenye hiyo nafasi) mtu mwingine ambae alikuwa akiwasiliana nae ni Abdul mtoto wa Idd Amin Mama.
Lakin pia alikuwa anawasiliana na baadhi ya Viongozi wa Serikali wakiwemo Mawaziri na kote huko alikuwa anajitambulisha kama afisa wa TISS so Polisi baada ya kuona mawasiliano yake na hao watu, hata wao wenyewe waliogopa.
So hao Wanachama wakajua issue ni nini so waliondoka zao ila walimwacha Buyobe pale kituoni na Wakili ambae alikuwa kamsindikiza.
Mwisho kabisa hii sio vita ya maneno ni uhalisia wa mambo na kwa tulipofika sasa ili kulikomboa Taifa letu lazima kwanza tulindane kwa kuepushana na hatari zinazoepukika.
Nawatakia siku njema.