@chapo255 Its because PS ni tofauti na other games, like huwezi kukariri especially FIFA. but other games like GTA you go to the same situations, roads, maps severe times na unawahi lichoka but football it depends na opponents wako ameamkaje siku hiyo
@JMariotz Huoni mpaka team mates wamekuwa wakali dhidi yake?
Ukiona mpaka wenzako (sio mwenzako) narudia wachezaji wenzio wanakuwakia ujue hauko sawa. Damu ikishachanganya team mates wanaweza kukutetea kwa chochote ila ukiona wamekughairi ujue umezingua
@spana_Konki Dodoma kuna jua kali, Dar kuna joto kali
Ukali wa jua ni matokeo ya moja kwa moja ambayo mwili unayapata hivyo joto lake husikika pale tu jua linapowaka.
Joto la Dar ni matokeo ya ukanda na msongamano wa watu na vitu kama magari, viwanda, majengo nk.