@Wakazi Maana halisi ya ujumbe au maudhui ya kazi ya sanaaa Huwa ni Siri ya msanii mwenyewe... Usitake kutuambia Kila nyimbo unajua maana yake bro😔😔 kama ndivo ebu tuambie maana ya wimbo wa MWANAJUA ya dizasta vina
@HKigwangalla Ni jitihada gan umefanya ukiwa mbunge au waziri kuhakikisha vijana wanapata ajira rasimi au kujiajiri/kuwekeza ad wakati huu mkuu tukupongezee make unapoleta hoja zako na mapendekezo unabudi budi kusema ulifanya kipi kuwapigania au kuwafungulia njia na vijana wakakubeza😔😔😌😌
HII HAPA ORODHA VYA VYAKULA VYOTE VYA ALKALINE KWA MUJIBU WA DR. SEBI.
Dr. Sebi aliujua ukweli na kuutumia kuponya watu wengi duniani.
Hi indo maana halisi ya Chakula Dawa.
Bookmark & Repost 🫡
📕...Kupata Kitabu cha Dr. Sebi,
Link ipo mwishoni...
➡️Msingi wa Tiba Ya Dr. Sebi:
Chanzo kikuu cha magonjwa yote ni ute ute (mucus),
unayojikusanya ndani ya mwili.
Na ili kumponya mtu ni lazima awe kwenye lishe ya alkaline - ili kuondoa ute ute.
Alkaline diet inahusisha mboga mboga, matunda,
karanga (nuts), jamii ya kunde, miti-shamba n.k.
➡️Orodha ya Vyakula Ambavyo ni Alkaline:
🥦Mboga mboga
Amaranth greens – Callaloo
.
Wild Arugula
.
Bell Peppers
.
Chayote (Mexican Squash)
.
Dandelion greensDandelion greens
.
Garbanzo beans (chick peas)
.
Izote – cactus flower/ cactus leaf- kutoka California
.
Kale
.
Lettuce (zote, isipokuwa Iceberg)
.
Uyoga (wote ispokuwa aina ya Shitake)
.
Nopales – Mexican Cactus
.
Bamia
.
Mzeituni (na mafuta yake)
.
Vitunguu)
.
Purslane (Verdolaga)
.
Mboga mboga za baharini (wakame/dulse/arame/hijiki/nori)
.
Squash
.
Tomato – cherry na plum
.
Tomatillo
.
Turnip greens
.
Watercress
.
Zucchini
🍉Matunda
(Hakuna matunda yasiyo na mbegu)
.
Tufaa
.
Ndizi (za asili pekee)
Berries – aina zote- isipokuwa cranberries
.
Cantaloupe
.
Cherries
.
Currants
.
Tende
.
Figs
.
Zabibu – zenye mbegu
.
Ndimu na malimao – yenye mbegu
.
Maembe
.
Tikiti – lenye mbegu
.
Orange (Seville or sour)
.
Papai
.
Peaches
.
Pears
.
Plums
.
Prickly Pear (Cactus Fruit)
.
Prunes
.
Raisins
.
Nazi na dadu (na mafuta yake)
.
Stafeli – (Latin or West Indian markets)
.
Ukwaju
.
Tango
.
Parachichi
🥜Karanga na Mbegu + Siagi
.
Brazil Nuts
.
Mbegu za Hemp
.
Mbegu za Sesame
.
Ufuta asilia “Tahini”
.
Walnuts
🏺Mafuta
.
Mafuta ya mzeituni (Sio ya kupika kwa moto mkali)
.
Mafuta ya nazi
.
Mafuta ya Grapeseed
.
Mafuta ya ufuta
.
Mafuta ya Hempseed
.
Mafuta ya parachchi
NB: Punguza kutumia mafuta
ya mbegu.
🫘Viungo
Basil
.
Bay leaf
.
Cayenne/African Bird Pepper
.
Mdarasini
.
Dill
.
Kitunguu
.
Oregano
.
Powdered Granulated Seaweed (Kelp/Dulce/Nori – has “sea taste”)
.
Chumvi ya baharini
.
Sage
.
Tarragon
.
Thyme
🍵Chai ya kiasili
Anise
.
Burdock
.
Chamomile
.
Elderberry
.
Fennel
.
Tangawizi
.
Red Raspberry
⚕️Mitishamba yenye Maajabu
Mzizi wa Burdock Root – kusafisha damu na ini na kutibu presha
.
Bladderwrack (seaweed) – vitamini na madini ya kutosha na kutibu presha
.
Dandelion– kusafisha damu na ini na kutibu presha...
.
Elderberry (Sambucus Nigra) – kuondosha ute ute wote ndani na mwili, mafua, kikohozi na Upungufu wa kinga
.
Sea Moss – Irish MossSea Moss – Irish Moss (mimea ya baharini) – utajiri wa vitamini na madini
.
Sarsaparilla – kusafisha damu , kuua bacteria, kuondoa maumivu.
➡️Mtazamo wangu🧠
Watu wanapima na kuona ni ngumu sana kuweza kufuata mafundisho ya Sebi.
Ni kweli kabisa.
Ukiwa mzima wa afya, hauna changamoto yoyote utakuwa na wakati mgumu kuweza kufuata mfumo wa lishe wa Dr. Sebi lakini ikitokea ukawa na shida ya kuponya na umeambiwa suruhisho ni kwenda alkaline way.
Mbona utaweza bila shida yoyote. Ni kawaida kwa binadamu. Saikolojia inasema watu wanaweza kulipa gharama kubwa kutoka kwenye maumivu na si kwenda kwenye raha.
Hivyo ni uchaguzi wako ufate mfumo upi wa maisha na kwa misingi yako. Lakini ukitaka tiba ya alkaline, Dr. Sebi ameifundisha vyema sana.
Ifate na utapata uponyaji.
NB: Vyakula vingi vimetolewa na vingine kuongezwa.
Kama Umepata thamani,
FOLLOW ME: @millambo_
Kupata Kitabu cha Dr. Sebi Ingia 👇
Join our Telegram Channel:
https://t.co/mB5Pj1PSsG
Alitibu wenye Ukimwi,
Alitibu wenye cancer,
Alitibu wenye vipara,
Alitibu wenye kisukari,
Alitibu wenye pressure,
Alitibu wasiopata watoto.
Wamarekani walitaka kumfunga kwa kujitangaza kuponya Ukimwi.
Wakamwambia athibitishe.
Wakampeleka mahakamani.
Akapeleka mahakamani lundo wa raia wenye vyeti vya kukutwa positive na baadae kukutwa negative baada ya matibabu yake.
Akathibitisha mbele ya jaji kuponya.
Wakamwachia huru.
Hawakuishia hapo.
Wakaendelea kumsakama.
Hivi ndivyo wasema ukweli na wanaojua siri nyingi huishi kwa taabu na muda wote huwa na roho mkononi.
Hatimaye Alipoteza Maisha akiwa Mikononi mwa Polisi.
Huyu ndio baba wa chakula dawa.
Mwamba kweli kweli.
Anakwambia magonjwa yote chanzo chake ni kimoja tu. Mkusanyiko wa ute ute (mucus) kwenye eneo la ugonjwa.
Na tiba ni moja tu, kula vyakula vyenye nguvu ya alikali.
Mwamba kweli kweli,
Si mwingine ni nguli,
Dkt.Alfredo Darrington Bowman
A.k.a Dr. Sebi
R.I.P
🫡
The storyline, progression, plot turns, imagery, language use, choice of words, content presentation, character development, finishing.. Best to ever do it.
#hatiaV https://t.co/jmKId3Jsbu
Kipande cha kwanza cha video kinaonesha mhe Rais Samia akitoa maelezo muuliza swali ashughulikiwe
Kipande cha pili Hayati Rais John Pombe Magufuli akiwakalisha chini umati kisha kumpa nafasi mama mmoja mwenye kero azungumze
Rais atakayechaguliwa 2025 atleast aongeze mishahara ya watoa huduma za afya hasa madaktari, nesi, wafamasia n.k. Yaani angalau mara mbili ya sasa.
We deserve that!
💨 Kufanya Partition katika Pc au kompyuta ni jambo muhimu sana katika kompyuta.
Humuwezesha mtumiaji wa kompyuta kugawa Hard disk yake katika makundi ya storage.
Hapo utaweza tenganisha storage yenye ma-file ya system na yako yenye ma-file binafsi. Hii itasaidia kuzuia...