Kitambo pale Sunday school nilikuwa na kana pombe vibaya sana mpaka nikitembea Kwa barabara nione mlevi mbele inabidi nirudi nipitie njia ingine nikilia
Jana my ex called akidemand that she needed closure juu hawezi move on to the next person na imekuwa miaka mbili since break up. As usual Mimi na roho yangu safi nikaamua wacha nimwambie iishe. Tangu Jana mpaka saa hii amepiga 30 missed calls.
Chilled nigga niko kejani naskiza asake kwa background, gas inawaka pole pole sign za kuisha, unga iliisha two weeks ago na barely survive alafu unaskia Njeri ananiomba 2k urgently natokwa na wazimu