@umwalimu Mheshimiwa hospitali ya uhuru pia jijini mwanza nadhani ina shida, sijui kama ni sheria inaelekeza hivyo. Ukipima pale huwezi kuandikiwa dawa ili ukanunue sehemu nyingine. Naomba ufafanuzi juu ya hili.
NAMNA YA KUANZA HOTUBA
•Inua kichwa na tabasamu
•Toa mzaha mfupi (hakikisha mzaha utachekesha)
•Uliza swali la kufikirisha ambalo wote kwenye hadhara wanalo
•Toa [relevant] fact au takwimu ya kufikirisha (mf. wanaioshi leo ni wengi kuliko wote waliokufa?)
•Toa hadithi fupi
@maji_mowi@YouTube Kigoma kuna mabonde mengi ya maji, lakini uharibifu unaofanywa na binafamu ni mkubwa. Mkutano huo ukaangazie namna sahihi ya kuongeza matumizi ya mambonde hayo yanayoendana na uhifadhi.
Young people: you gotta live within your means! Stop spending more than you earn trying to chase what you don’t have! Your motto should be: “live below your means but within your needs”. Only through discipline can you achieve financial peace.
Naendeleo kuamini uongozi sio kitu cha kukimbilia. Usitamani sana nafasi ya uongozi kuliko kutamani kutumikia ile nafasi kwa upendo mkuu na unyenyekevu. Kwenye kutumikia ndio watu waone unafaa kuwaongoza na Mungu aweke kibali chake na akupe ulinzi na nguvu za kuongoza watu wake.
"Akiwa mjamzito, aliamua kupambana sana na kijana aliyekuwa ameingia chumbani kwake kwa ajili ya kumbaka. Aliona bora kujitoa muhanga kuliko kumuacha kijana mdogo vile amdhalilishe. " #Teleza#ChangeTanzania
Nini kinasababisa barabara kuwa katika hali hiii? Ukipita maeneo ya Chalinze uelekeo wa visezi,mbala vigwaza,Ruvu darajani hadi Mlandizi kuna maeneo yapo hivi sheria inasemaje.@RsaTanzania @ajalinisisi@safiri_salama@tanroad27 @SumatraTZ @Tanganyikan@Sheria_Katiba
Tunaishukuru @maji_mowi na idara ya maji #kibondo kwa kuleta mradi wa maji mtaa wa kumwai. Lakini haijapita hata miezi 2 tangu mradi uzinduliwe mabomba yashaanza kupasuka na maji yanamwagika ovyo. Kulikoni? Tusaidieni. @kitilam#Chukuahatua