Ni taasisi kimbilio kwa watu wenye changamoto za kimaisha. Tunajikita kuwafikia na kutatua changamoto ya ukatili na unyanyasaji wa kijinsia katika jamii.
As the Government of the URT prepares its NDC 3.0 submission to @UNFCCC, @CANTanzania & Genesis Analytics are undertaking the 2021 NDC Impact Assessment to ensure the next NDC reflects local realities, solutions, and learnings from the previous NDC.
👉https://t.co/I252ZWu8iw
Ukatili wa Kijinsia huwapata wote Wanaume kwa Wanawake Tafiti zinaonyesha Wanawake ni waathirika wakubwa zaidi kwa Ukatili wa Kijinsia katika Jamii kuliko Wanaume.
#VukayakoSalamaYako
Dkt.Gwajima:Vitendo vya Ukatili vinavyoendelea katika Jamii haswa kwa watoto 60% vinatokea majumbani huku 40% vikitokea katika maeneo mengine tofauti tofauti
Mahusiano ya Wazazi na watoto Pamoja na ndugu wanaowazunguka yatiliwemaanani, huku familia zikitakiwa kutimiza Wajibu wa kukaa na watoto ili kuimarisha malezi na ustawi wa watoto
#Vukayakosalamayako
Dkt.Gwajima:Vitendo vya Ukatili vinavyoendelea katika Jamii haswa kwa watoto 60% vinatokea majumbani huku 40% vikitokea katika maeneo mengine tofauti tofauti
Shirika la Afya Duniani (WHO)limetoa maana ya neno Ukatili kuwa ni matumizi ya Nguvu au Mamlaka dhidi ya mtu mwingine yanayoweza kusababisha majeraha,kifo,madhara ya kiakili ,kidumaa au kukosa mambo muhimu kwa yule aliyetendewa ukatili
Ukatili wa Kijinsia huwapata wote Wanaume kwa Wanawake Tafiti zinaonyesha Wanawake ni waathirika wakubwa zaidi kwa Ukatili wa Kijinsia katika Jamii kuliko Wanaume.
#VukayakoSalamaYako
Kama ambavyo mimea hufanya mabadiliko kutokana na Wakati au Hali ya Hewa ndivyo akili ya. Mwanadamu inavyohitaji kulishwa kila Mara
@Rukungutz#VukaYakoSalamaYako
Kama ambavyo mimea hufanya mabadiliko kutokana na Wakati au Hali ya Hewa ndivyo akili ya. Mwanadamu inavyohitaji kulishwa kila Mara
@Rukungutz#VukaYakoSalamaYako
Laigwanani mkuuu Kiloriti Ole Ngulupa Tarafa ya Longido ambaye ni mwasisi wa maombi ya kutengua mila na laana ambayo ilikuwa inawazuia watoto kwenda shule kusoma
Laigwanani mkuuu Kiloriti Ole Ngulupa Tarafa ya Longido ambaye ni mwasisi wa maombi ya kutengua mila na laana ambayo ilikuwa inawazuia watoto kwenda shule kusoma
@TAMWA_ imekuwa na mchango mkubwa katika jamii katika utoaji elimu ya masuala ya kupinga Vitendo vya ukatili dhidi ya Wanawake na watoto.
Kuelekea #SikuYaWanawakeDuniani inatambua mchango wa wanawake waliojitoa katika kufanikisha juhudi hizi. #WanawakeWanaweza#WomenInMediaTz
Hata kama "Mwanaume" anaendesha mapenzi yenu kwa msichana usikubali kufanya vitendo vinavyo dhalilisha utu wako na kupiga picha au kujirekodi vitakuathiri mbeleni. #ZuiaUkatiliMtandaoni