Kuna Watu Wako Jera Lakini Bado Hawajawahi Kukata Tamaa Ya Maisha Wanaamini Iko Siku Watatoka Na Kuzifuata Ndoto Zao,Wewe Unanafasi Ya Kurekebisha Makosa Yako Usikate Tamaa Wewe Ni MSHINDI.
Wanaume Wanaokataa Mimba Na Malezi Ya Watoto MUNGU Huwa Anawapa Maisha Marefu Sana, Hii Yote Ni Kwa Sababu Ya Ile Kauli Ya “Malipo Ni Hapa Hapa Duniani” Wanalipwa Haswaaaaa, MUNGU Mjuzi Sana 🙏🏽👏🏽
Wazazi wanataka Harusi kwani ndicho walicho hitaji kwa ku pressurize watoto wao.Baada ya muda wamekuwa shule ya kulea WAJUKUU.Usiolewe kwa sababu rafiki yako ameolewa au Mama yako anataka Harusi/Wajukuu.Angalia Values na Upendo maana hizi ndio utaishi nazo.
Leo tujifunze tofauti ya GHARAMA & THAMANI
Gharama ni Muda +akili+ ubunifu + Nguvu ulizotumia katika kutengeneza (price)
THAMANI ni Matokea ya ulichowekeza- (Value)
Somo letu la leo, tusije tukataka THAMANI kumbe hatukuwekeza kwenye GHARAMA
"Kadri unavyokuwa mwepesi wa kulaumu laumu na ukizoeleka hivyo, ndivyo unavyonekana jinsi wewe ulivyo tatizo zaidi kuliko unaowalaumu." ~Togolani Mavura.
Ukiona Kuna Watu Wamekaa Kwenye Mahusiano Muda Mrefu Sana Au Ndoa Ina Miaka Mingi Sana Tambua Hao Wanaishi Kwa KUSAMEHEANA Sana, Nje Ya Hapo Hutoboi…….✍🏽
Baba Yetu uliye mbinguni. Jina lako litukuzwe. Ufalme wako ufike. Utakalo lifanyike duniani kama mbinguni.
Utupe leo mkate wetu wa kila siku. Utusamehe makosa yetu. Kama nasi tunavyowasamehe na sisi waliotukosea. Usitutie katika kishawishi. Lakini utuopoe maovuni, Amina🙏