@neemalugangira@rollymsouth Wabunge wa ccm ni lini mtakua watetezi wa watz mko upande wa serikali kila mnaloletewa humo mjengoni ni kupiga makofi tu ht mambo ambayo yanaumiza wananchi mmekua hasara kbs natamani hilo bunge livunjwe tu tuchague wabunge wengine nauli zimepandishwa bila utaratibu mpo kimya a
@MsigwaGerson Km mama kila goli la Simba na yanga alikua ananunua mil.10 ss tatizo la pesa kwenye timu linatoka wapi jmn mbona tunalipa sna kodi tumieni hzo km hazitoshi tumieni za tozo bac na kutuambia tuchangie timu sisi
@MsigwaGerson Mafuta yameshuka kwenye soko la dunia alafu nyie na serikali yenu mmetuongezea nauli za maumivu makubwa sna na hii yote 7bu nyie hampandagi daladala wala mabasi embu mtuache na shida zetu jmn maana hatuna watetezi sie wakutusaidia
@RahmaMwita@tanescoyetutz kaa kwa kutulia kiazi ww unalia lia nn tulieni dawa iwaingie vzr @tanescoyetutz endeleeni kushikilia hapo hapo mama anaupiga mwingi na kwenye nauli watu wanalia sna na bado mpk wanyooke kudadeki
@RahmaMwita Duh kweli ww dada huna akili yaani vijana hao kaki wananguvu gani ya kutetea umeme wale wabunge wenu pale bungeni wajibu wao hawaujui kwenye hili tatizo la umeme wanashindia kusifia kila Jambo la serikali na kugonga meza tu
Siku moja nilikuwa naenda Kanisani, getini nilikutana na mama mmoja akionekana dhaifu wa afya akitaka kuniona,kwa haraka nilimwambia, Mama leo sitaweza kuongea na wewe,nawahi Kanisani, Mke wangu akanitazama akaniambia"Godbless msikilize,huyu ndiye Kanisa letu leo.