@swahilitimes Alilazimishwa?
Hawakufanya makubaliano ya kimkataba?
Hakukuwa na mkataba?
Ilikuwa ni Amri?
Aliyesaini ni nani?
Simba aliondokaje kwa nn hakuongeza mkataba ulipoisha?
Yanga walimuiba?
@INFLUENCERjr Jamaa kaniambia twende tukapige kaz,kujenga chumba na sebure.
Tunaanza saa 11 asubuhi hafi saa 4 usiku.
Nyumba iliisha ndani ya siku 3. Kwa siku nalipwa 5K. Kszi imeisha nikalazwa wk nzima. Baadae nagundua tulikuwa tunajenga nyumba ya huyo huyo fundi,alikuwa amefukuzwa alikopanga