There’s a MAN somewhere right now who has:
• No girlfriend.
• No side chick.
• No sneaky links.
• No texts.
• No calls.
Just by himself, quietly fixing his life.
If this is you, read this...
VITU AMBAVYO KIJANA ANAPENDA SANA:
1.Kubadili wanawake
2.Kumiliki simu kali
3.Kumiliki Gari kali
4.Kumiliki walau Ps5
5.Kufika Dubai siku moja
VITU AMBAVYO MWANAUME ANAOTA KILA SIKU NA KUPENDA!
UZI/THREAD🧵👇
kuna mtu humu alishawahi kusema hapa Dar unaweza kuwa unaamka asubuhi unaenda harakati kutafuta hela ya kula ya siku hiyo na nauli ya kukurudisha kwenye mihangaiko siku inayofuata, jamaa alikuwa sahihi😄😄