Kuna uchungu wa kuona wengine wakitimiza ndoto zako, huku wewe ukijaribu kujifariji kwa kusema “wakati wangu bado.”
Lakini ndani, unaanza kuogopa kama huo wakati upo kweli.
SHULE ni huduma inayopanda Bei wakati Demand yake inashuka ,na TUITION ni ukatili dhidi ya Likizo ya mtoto.Shule inatakiwa kuwa 'sehemu' ya maisha na sio MAISHA yote ya mtoto.#Kamjadala
@Adventure_36 Sasa, ni wangapi wenye huo uelewa maana kwa upande wa mshikaji alikaa muda hajamwaga oil, ila inabidi hii sheria ya ndoa ifundishwe chuoni pia, after human right.
@Thommunkondya Huo ukanda nilishuhudia dogo kafa na nzi hajasogelea mzoga na hakuna harufu. Itoshe kusema pale Iwalanje ni kambi ndogo ya ukomando. Baridi la kuzidi, halafu network ya kutega sana. Kuna muda tulikua tunajianika juani kama mamba aiseee