Sio rahisi kama unavyofikiria.
Lets say ulinunua hisa za CRDB za 10 million zikiwa 500 TZS.
Hypothetically, utakua na hisa 20,000.
Bei ya hisa moja ilivyofika tzs 1000 ungekua na 20 MILLION.
Bei ya hisa moja ilivyofika tzs 2000 ungekua na 40 million
Mimi bana huwa nashangaa watu wa hizi bank za Tanzania 🇹🇿.
Mtu kuweka milioni 100 hakuna shida kabisa
Ila ukija kutaka kutoa hizo milioni 100, ghafla unaambiwa:
“Subiri kidogo, kuna waiting. Mara meneja njoo
Yaani kuingiza hela ni sekunde, kuitoa ndiyo inakuwa interview. 😭😂
@Pile_Driven@MkulimaKante Ww ndio hauna akili ndg, kwa kukutoa ujinga tu baadhi ya mazao yenye value kwa horticulture ni Parachichi (Avocado)
Maharage mabichi (Green beans)
Nyanya,Vitunguu,Pilipili,Maua(Cutflows)
Viungo kama tangawizi na pilipili. Pia mchango wa hort fedha za kigeni ni almost usd 417M
Kära muslimer i Sverige 🇸🇪
Min familj och jag har bestämt oss för att flytta till ett muslimskt land.
Vi har inte valt vilket ännu – vi letar fortfarande efter det bästa förmånspaketet.
Uppenbarligen vill alla mina grannar följa med också.
Och deras grannar.
Och deras kompisar.
Och deras kompisars kompisar. Innan ni vet ordet av det kommer halva Sverige 🇸🇪 att dyka upp med resväskor och en vag känsla av rättighetstänk.
Som ett stort kristet samhälle behöver vi några små justeringar:
Vänligen börja bygga kyrkor omedelbart.
Riktiga sådana med klockor. Högljudda klockor.
Vi behöver också vissa gator stängda en gång om året för våra processioner.
Oroa er inte, det är inte fem gånger om dagen – vi är inte djur.
Varje mataffär måste ha ordentligt fläskkött, bacon, korv och pölsa.
Vi är en minoritet nu, så ni får helt enkelt vara förstående och tillmötesgående.
Vi tar med oss alla hundar. Räkna med många glada labradorer och staffordshires som skiter på era trottoarer.
Ni kommer att behöva hundparker, och ni kommer att behöva le medan vi promenerar dem förbi era moskéer.
Medan vi ändå håller på, så är era religiösa helgdagar lite... mycket.
De kanske kan kränka det kristna samhället, så vi skulle uppskatta om ni kunde slänga dem diskret. Tack.
I skolor och på arbetsplatser måste våra barn och personal få bära stora kors, äta skinksmörgåsar i personalmatsalen, och generellt utstråla kristna vibbar utan att någon tar till pärlhalsbandet.
Vi kräver också bönerum i varje byggnad, plus översättare eftersom vi inte orkar lära oss arabiska.
Om något av detta nekas, vänligen skicka en lista med polisstationernas adresser så att vi kan anmäla er för diskriminering, kristofobi och allmän elakhet.
En sak till: om mina barn bränner er flagga för att Sverige precis vann i fotboll, var snälla och ha förståelse.
Jag ska ge dem en rejäl utskällning. Kanske till och med tvinga dem att skriva ”förlåt ” 50 gånger.
Slutligen skulle vi vilja ha generösa bidrag, gratis boende och fickpengar medan vi ”integrerar” under de närmaste tre generationerna.
Arbete är frivilligt, uppenbarligen.
Vi vill också dricka alkohol och ibland spela på hästarna.
Och i bra väder gillar vi att gå topless.
Var snälla och ha tålamod med oss.
Ni kommer att vänja er.
Uppskattar er tolerans i förväg. Diversitet är trots allt vår styrka!
Med vänliga hälsningar,
En mycket resonabel kristen
Nimeona video hii kwa niffer huko TikTok akielezea nini wafanyabiashara wafanye pale ambapo watajiri au wafanyabiashara wakubwa wanapo post bei za jumla katika page zao za mitandaoni.
Kuna point mbili nataka kuzielezea.
Kinachosababisha wafanyabiashara wakubwa wapost bei za jumla ntandaoni ni kukosa ethics za biashara tu, sababu bei kubwa sikuzote haiwezi kukuletea wateja wengi japo sometimes it does.
Pili, uwepo wa wachina umekuja kufanya biashara kua ngumu sana, sababu kilakitu ambacho Mtanzania alikua anakifata China leo hii mchina anakileta kwa bei ndogo.
Zunguka kwenye malls za Home city na malls zingine mpya ambazo mchina anuza, unakuta mafuta Mtanzania alikua anaagiza China na kuuza kwa 10k lakini ukienda kwa mall ya mchina anuza 3k, apo mbongo mwenzako si utamuona mwizi?
Lakini kingine ni kwamba wauzaji wa jumla wanatakiwa wamlinde mteja wa jumla sababu yeye anakuja kwako kununua mzigo mkubwa mara kwa mara, hivo kama utapost bei za jumla mtandaoni inaonesha wewe kanuni za biashara huzijui.
Hii ni kwa biashara zote sio cosmetic au furniture Au electronics pekee, kila kitu.
Wafanyabiashara wengi wa leo wabinafsi, kutokujua ethics za biashara, lakini kwa wateja wanao waona watanzania wenzao wanauza vitu bei kubwa basi pia wanakosea sababu, biashara zina mambo mengi, mwingine anapewa mali kauli huko anakoagiza mzigo, mwingine alipata mzigo bei ndogo na akasafirisha bei ndogo, ko mkija sokoni bei hamuwezi wote mkafanana, lakini hili la wachina Serikali yetu ingeliangalia sana, maana miaka miwili mbele hali haitakua nzuri sana maana hali za wafanyabiashara wengi zitakua ngumu.
@heis_kanny Siku ngozi nyeusi tukianza kujitambua hata hao wataanza kujiona waafrika hakuna mtu anataka ukaribu na losers.
Hata hawa wahijdi na warabu wataanza kuoleana na sisi. Tuwaelewe tuu bado tunaishi ujima.
Namna ya kuilinda ENERGY YAKO.
1. Usibishane mambo ya mpira hata kama unapenda mpira
2. Usijieleze sana kwa watu wasiojua thamani yako
3. Linda muda wako, si kila mwaliko, simu au ujumbe unahitaji jibu la haraka.
4. Tumia nguvu zako kujijenga, na sio kuthibitisha kitu kwa watu.
Energy yako ndiyo mtaji wa umakini wako.
Ukiilinda vizuri, maamuzi yako yanakuwa bora, uzalishaji wako unaongezeka, na maisha yako yanabadilika.
Shule zilitufundisha kushindana. Kujua umefaulu na hivyo ufurahi kwa kiwango gani ilikuwa lazima ujue kwanza umekuwa wa ngapi kwenye orodha ya mwalimu. Thamani ya alama zako ilitegemea alama walizopata wengine.
Nyumbani, tulikokulia, nako maelekezo mengi yalilenga kutulinganisha na wenzetu. Kila jambo jema lilikuwa na lugha ya ulinganisho.
‘Umeona mwenzako?’
‘Fanya kama nanihii.’
‘Wenzako wote wanaweza.’
Matokeo yake ushindani umekuwa sehemu ya maisha yetu. Hata ukiulizwa unaendeleaje, unajibu, ‘Tunapambana!’ Kila wakati inakuwa kama furaha yako inategemea umewashinda wangapi.
Kipimo cha bidii na uwezo wako kinakuwa uwezo wa kushindwa kwa wengine. Unajiona unaweza kwa vile wengine hawawezi. Unajiona mzuri kwa vile ‘una kitu’ ambacho wengine wote hawana. Tatizo la kushindana sana ni kufika mahali unashindana hadi na kivuli chako mwenyewe na huridhiki.
Kadri unavyokua, maisha yanakufundisha kumbe kila mtu ana hatua zake, kwa vigezo vyake na kwa majira yake. Unaweza kabisa kufanya kikawa kizuri na ukakifurahia bila kumshinda yeyote. Unaweza kuwa hodari bila kumfanya mwenzako akaonekana dhaifu. Ukifika hapo utafanya vitu vikubwa kwa utulivu, bila mashindano na utapata matokeo makubwa bila kuumiza hisia za mtu.
We're dying prematurely with all our dreams varnish in vain.
° Alcohol
° Accidents (the monster)
° Infectious ailments; Hepatitis, HIV, etc
° Non-communicable; Kidney failures etc.
IN GOD WE TRUST!