@godbless_lema Yawezekana Mhe. Lemma akawa yuko sahihi kwa yote anayosema.
Lakini TATIZO KUBWA linakuja pale ANAPOJITETEA SANA.
Inaleta mashaka sana.
Ningepewa nafasi ya kumshauri Mhe Lemma ningemuambia: "Usijitete sana mzee wangu, unafanya watu wakuone mkosaji anayetafuta kuonekana mwema"
@INFLUENCERjr@Roma_Mkatoliki kwenye wimbo wake 'Nitasimama tena' anasema:
"...ngoja niwajuze msichokijua, tuna akili zaidi yenu, ila mna nguvu zaidi yetu,... hadi hapo hamjaona gep..."
Ni maneno ya Roma, sijasema kitu mimi😑
“A quiet man is either PLANNING SOMETHING, or ENDURING AN UNTHINKABLE PAIN"
.
“Mwanaume mkimya huenda ANAPANGA JAMBO KUBWA SANA, au anapitia MAUMIVU YASIYOWEZA KUFIKIRIKA"
Watu wanaweza kuona kitu kilekile, lakini wakakitafsiri kwa namna tofauti. Na si kila tafsiri unayopokea inahitaji majibu yako.
Usikimbilie kujitetea kwamba wewe ni mwema, mwerevu, sahihi au bora pale unapokuwa unaandamwa na lawama. Wakati mwingine, ukosoaji unaoumiza ndio ....
... Wakati mwingibe ukosoaji unaoumiza ndio kioo kizuri zaidi cha kukuonyesha kile ambacho hukioni ndani yako.
Badala ya kutafuta validation, sikiliza. Chuja. Jitathmini. Jirekebishe pale inapostahili, na endelea mbele pale ambapo si kweli.
Ukomavu wa kifikra utakusaidia kujua yapi ya kusema na yapi ya kukalia kimya na kuyaacha yapite.
Si kila unachokijua kinahitaji kusemwa: Hata kama ni mazuri au mabaya kiasi gani.
Busara ni kujua wakati wa kuongea na wakati wa kunyamaza.
@cletucchi_08@Madari1929@feisal01 Binafsi nimekuelewa vizuri sana kaka.
Kuna hili jambo:
Life is not fair... na usitegemee/NI NGUMU sana kufanikiwa kwa njia ambazo zimenyooka.
Ha wengi ambao watakupa siri za maisha, hawatakupa THEIR DARK SIDES KAMWE😅. Watakufundisha kuwa mvumilivu, mstaarabu, Mwaminifu
@Madari1929@feisal01 Wengi wanashindwa kutumia miezi6 kujifunza kitu... wanakurupukia kitu wakiwa hawana skills za kutosha... Tatizo mifumo ya sasa imewaathiri vijana, wanataka vitu vya haraka: internet 5G, Usafiri mwendokasi etc... same-like wanaleta kwenye mafanikio.
SUCCESS IS PREPARATION!
@Madari1929@feisal01 Naweza kadiria tatizo lako: Unahukumu moja kwa moja kitu pasipo kujua ukweli halisi.
Na, yawezekana ushapoteza pia hela kwenye Forex/Crypto.
Tatizo kubwa sio kwamba Forex/Crypto ni scam - Tatizo ni kwamba WaTZ wengi wanaingia kwa pupa za mafanikio pasipo KUJIFUNZA KWA KINA.