@IbrahimManonga@Mabulanee@Sampresdentz@Jambotv_ Yameanzia wapi? Kwani huo mjadala wa heche ulitoka nao nyumbani kwako? Si umeusoma hapa mtandaoni kama sisi, heche kashasema bunge la hovyo na ni kituko, kama wewe unafurahishwa na tabia za spika basi endelea kufurahi ujalazimishwa ukosoe, heche kahamua kukosoa muache akosoe