@Ramadhanmsuya92@IAMartin_ Ndiyo waue watu wengi kiasi hicho? Kweli kabisa na wewe unaona sawa hilo? Hata km walifanya fujo walishindwa kuwadhibiti kwa kupiga za juu? Je wale waliokuwa wanawafata mpk mitaani na wao walikuwa na kosa gani??? Watu wamekaa mitaa ya nyumban tu wameuawa... kweli?
@msindi_haji@TanzaniaLeaks Kumbe mnaua mtu akienda kinyume na mnavyotaka? Kwann msimjibu kwa hoja tu mkaacha kukatisha uhai wa Mtu? Mnataka watu waogope wasiongee ukweli
@Mhe_Mwl_Steve @HildaNewton21 Unaona sawa Jeshi kutumia nguvu ? Kwan Gwajima alichokiongea ni uongo? Au ametukana matusi? Ila watoto wa Ccm๐ mko ladhi wananchi wapigwe wafe mshangilie ๐