Exactly
Jana nimejifunza kitu kikubwa mno kanisani
Wanandoa wamekuja wote ibada ila wako kwenye process za kuvunja ndoa ,kwenye maombi pastor akawaita
Akawauliza pete ziko wapi ? Walishavua kitambo wakaambiwa waende home wakazilete ndoa ikafungwa upya dada alipiga magoti ππ
@INFLUENCERjr Unamchukia Goti mwitu? Mek Hadi Jina Mmembatiza As if Dunia Haimtambui km One Amongst the BESTπ ni Mtazamo tu Kulingana na Mtu MwenyewΒΏBinafsi kuona Nani Bora.. No Wonder kuna Kizazi kinamjua Pele Tu. Baadhi Maradona,Wengine Messi,Nk