@LuhagaMpina Kwahiyo akiwa mbunge au mfanyabiashara au askofu ndio utaratibu usifatwe
Wewe mwenyewe mpina ni mnafiqi mnaungana na matapeli wengine kujaribu kujaribu Amani ya nchi na hamtaweza
Wewe mwenyewe ulikuwa waziri wakati wa magufuli mbn hukutenda haki Kwa watanzania?
@JohnNgutiCDM Wewe dogo unachokitafuta utakipata kama mwenyekiti wako ni mwanasheria na anasota ndani sasa wewe kapuku endelea kupotosha umma Kwa taarifa zako za uongo ukishtakiwa Kwa kutoa taarifa za uongo muanze kuona tcra na police wanawaonea
@JohnNgutiCDM@ChademaTZ2 Yani chadema kila kitu kinamilikiwa na mtu binafsi
Hii ni hatari yan hata account ya x haikuwa ya chama
Sasa hatujui waliobaki wakiondoka wataondoka na kila kitu na chama kitabaki hakina kitu