"Tunaishi sana kwenye Ndoto kuliko Uhalisia"
Ndoto zina Raha,Hazina presha, hazina kushindwa.Uhalisia una Kazi,Maumivu,Nidhamu, na mara nyingi kukatishwa Tamaa.Ndiyo maana Akili inapenda kukimbilia Ndoto—ni sehemu Salama.Lakini Maisha Halisi hayabadiliki kwa kufikiria tu.👇
@iMajeshi_ Wale Wazuri Wanawachagua wenye Sura Mbaya Wanaamini Wakiwa Pamoja Anaonekana Yeye Tu, Soko linakuwa Kwa mzuri Unafukiria Wanaenda wanalazimishwa Tu Kutembea na Marafiki Wazuri.
Kikubwa Kumuomba Mungu Kila Siku Bila Kuangalia MAISHA Ya WATU Wengine,Isije Kukatisha Tamaa na Kuaza Kumkufuru MUNGU, Kila Ombi Unaloomba MUNGU Hunijibu Kwa Wakati Ulio Sahihi.... ✍️
TEMBELEA HOSPITAL
Ukaione thamani ya pumzi unayoivuta bure, Utawaona ndugu zetu wanaolipia mamilioni ya pesa ili tu mashine iwasaidie kupata hewa
Unayoipata wewe ukiwa umelala au unatembea.
Utajifunza kuwa Uhai si haki yako, bali ni Neema Tu.
Kuchelewa sio kushindwa , usijione umebaki nyuma na kujikatia tamaa, maisha yanaweza kubadilika muda wowote na ukaishangaza dunia badae ,acha kuishi kwa ratiba za watu ishi kwa kusudi la maisha yako,dunia inaweza kuona umechelewa ila Mungu atakufanya ushinde kwa wakati ❤️...
Upendo wa kweli haujawahi kuja na sababu,wenyewe hutokea tu na hauelewi imekuaje umempenda mtu.
Ukiona una sababu ya kumpenda mtu basi hiyo sababu ndio anguko lako,kuna huruma,maslahi na tamaa ya mwili,hapo jishikilie ni siku yoyote unadondoka.
Good morning fam.