@simpleetz @__abdulazack @thinkbig2025@Sisimizi3@kigogo2014 @ngaso6_ngaso @dsm_wa Unajua sifa za mtu hadi anakuwa padre??, hakuna padre kilaza hilo la kwanza, pili hakuna padre mgumba ila wamewekwa wakfu kumtumikia Mungu, hakuna ambaye anaenda upadre kwakuwa ni Mgumba, ili uwe padre inakupasa uwe umefaulu level zote then miaka 7 upadre, amka asee
Ktk Familia zetu tulizotoka Mama zetu walijitahidi kutufanya tumjue Mungu na kufata mafundisho ya Dini hadi tumekuwa wakubwa, wanaume wenzangu nawapa challenge, Je mwanamke uliyenaye anaweza kuwa mama kwa watt wako kwa misingi hiyo? Ana Hofu ya M/Mungu na kufanya Ibada? π
@melkiorylinous1@fatma_karume Ndio unapata maambukizi, Sasa naomba nikujibu kitaalamu, mwili wako ukipata chanjo yyte Ile inasaidia cells za mwili wako kupata ujumbe na kuundaa mwili kupigana na ule ugonjwa ambao tayari Ile chanjo uliyo pewa imesaidia mwili wako kutengeneza antibodies zitapigana na ugonjwa
BET Awards: BET - Disqualify Diamond Platnumz from BET AWARDS 2021 (for Best International Act) - Sign the Petition! https://t.co/xbsqDDwKFS via @Change
@MariaSTsehai Tuzi hizi Zilianzishwa kwa lengo La kudai haki kwa watu weusi walioteswa na wazungu, huyu kijana yy aliunga mkono shughuli zote za kukandamiza haki za watu tena mchana kweupe hadi kwenye majukwaa, Sasa km yy alitupinga kwani kosa gani ss kumpinga?? Hana sifa za kupewa hyo tuzo
@MariaSTsehai@BETAwards@diamondplatnumz Lengo La kuanzishwa hizi tuzo ni kutetea haki za watu weusi marekeni waliokuwa wakiteswa na whitemen, Sasa Huyo sadala bado amehusika kwa kuwa unga mkono Hao watesaji Wa watu weusi na maana yake bado Hana sifa ya kupata hiyo tuzo maana malengo yake ni tofauti na mwnzilishi.