"Tuna bahati kuwa na Mayele kwenye kikosi chetu, ni mshambuliaji wa daraja la juu Afrika. Uzoefu wake pamoja na wachezaji wengine utakuwa msaada mkubwa kwetu kwenye hatua hii ya Fainali"- Kocha Mkuu Yanga SC, Nasreddine Nabi
#CAFCCFinal🏆
#YangaSC@boiplusmedia
“Mpaka sasa wadau wameshanunua tiketi 18,213 na klabu itaandaa utararibu mzuri wa ugawaji wa tiketi hizi ili kuwafikia wengi, tutangalia pia watu kutoka mikoani tuone namna ambavyo tutawafikia pia"- Mkurugenzi wa Wanachama Yanga SC, Haji Mfikirwa.