@mshambuliaji Daaah Kijana umeongea Kweli tupu Aiseee Mtu mweusi ni Mbaya kwa Mweusi mwenziwe Mtu mweusi mkundu Roho Nyeusi Akili Nyeusi Fikra Nyeusi upendo Mweusi ndiomaana Mtu mweusi Atabakia kuwa Nyuma Kama Matako
@ayubu_madenge Sahihi kabisa kwamaana Ukichaguliwa kuwa Papa huwa unashika hiyo nafasi ya kufutia watu Madhambi yao mpaka Uchukuliwe na Kifo ndio anachaguliwa Papa Mpya huyu anayezikwa yeye alijiuzulu mwenyewe Baada ya Scandal nyingi sana Katika Kanisa Kuu wakati wa Uongozi wake wa Kutoa Huduma
@HildaNewton21 Hata huko Marekani haki kwa Watu Welpen tu Weusi wanakandamizwa mpaka Leo na Wanauliwa kama kuku tu Bi mdogo Jifunze na Kemea Ubaguzi wa Rangi Marekani
@godbless_lema Ndoa haijawahi kuwa Mateso huo ni mtazamo wako BwamdogoNdoa ni Amri ya Mola na Mola hampi Binadam mzigo mzito ila Binadam mwenyewe ndio hujifungashia Mizigo mizito mfano kama wewe eti unasema mates ya Ndoa ni watoto sio kweli Baraka ya Ndoa ni watoto ila wewe unayatamani ya Dunia
@SuphianJuma@fatma_karume Fatma mjukuu wangu pole sana siasa za Tanzania 🇹🇿 Wapinzani hifundisha Chuki tu kama vile Zama za CUF 1995 2005 huko Visiwani Ukiwa CCM ama CUf unachukiwa ilifikia Wazanzibar Hawakuzikana kisa Siasa za Kimamnuki tu sasa Chadema Leo wanarudi kule 2000 Wazanzibar waliopokuwepo
@fatma_karume Umejitahidi sana yaani kwamaana Wasaiasa wa Afirika ukiongea English ndio wanaona mtu kaongea mambo ya maana sana wanashindwa kuelewa kuwa English ni Lugha tu bali sioUsomi hata England kuna Wazungu wanaongea English lakini hawajuwi kusoma wala kuandika ila wamezaliwanaEnglish
@darmpya_@JMakamba CCM WAONGO SANA wao ni Porojo tu hii inaitwa CCM MBELE KWA MBELE mpaka 2100 Rais Sijuwi atakuwa Mamnuki wa kizazi kipi Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿
@godbless_lema Hao ndio Viongozi waliokosa Maono ndiomaana katiba Mpya itawasaidia Sana WanaNchi katiba ya CCM ya 1977 Rais ana Nguvu kuliko Mahakama Kuliko Bunge Kuliko Serikali Kuliko Wananchi Waliompigia Kura Basi kusikuwepo na Upigaji Kura Rais awe ndio Kila kitu CCM MBELE KWA MBELE 2100
@UMOJAPARTY2022@Nnauye_Nape CCM WAONGO SANA WALISHASHINDWA TANGU 1995 DOLA NDIO TEGEMEO LAO KWAHIYO SASA HII INAITWA CCM MBELE KWA MBELE CCM INA WENYEWE NA WAMESHARUDISHWA HAWA VIOGOZI WANAOUMIZA WATU KWA DHULMA MAFIKIO YAO NI JAHANNAM KWAMAANA MWISHO YA YORE HAYO NI KIFO TU BASI
@HildaNewton21 Daaah Pole sana Ndugu Yangu unatakiwa ufahamu yakwamba Binadam amejaawa na Madhambi hawezi kusimamia Haki hata sekunde moja Haki zipo kwa Mola tu asiyekuwa na Dhambi tena yeye sifa yakeKubwa hana Mwanzo wala Mwishohuyo ndiye Hakimu wa Haki hapa Duniani wacha tuendele KudhulumiAna
@Heche_M_Enock@Nnauye_Nape Hii ndio Tafsiri ya CCM MBELE KWA MBELE CCM ina wenyewe sasa Wache waisome Namba kwamaana hii sio Hamasa bali Hanasa Wenyeviti wa Vijiji na Vitongoji wanafanya kazi Gani Mashekha na Kaya zao Wanafanya kazi Gani wacha twende 2025 ndio Muda wa kuamua CCM ama Mgombea Binafsi
@ngurumo TANZAGIZA KILA ANAYEPEWA NAFASI KATIKA UTAWALA ANATUMIA MADARAKA NA CHEO KUDHULUMU WANYONGE KISA DOGO KAPATA CHEO DAAH AFIRIKA NOMA SANA YAANI MOLA PITISHA HUKUMU YAKO KWA MADHALIMU HAWA