Je ni Kweli mtihani wa English form four nekta 2021 ndio mtihani mgumu kuwahi tokea Tanzania, au madogo wenyewe ndio walikua vilaza?
Nimekuletea paper zima
Fungua threads 🧵👇
Ukielewa kuwa watu hawawajibiki kwako kama ulivyoamini muda mrefu utaheshimu haki ya mtu kutokupokea simu yako bila kukupa maelezo yoyote. Hutouliza, “Kwa nini hupokei simu yangu?” wala hutopiga simu 20 zisizopokelewa mfululizo.
Maisha huanza kuchukua mwelekeo mpya ukigundua ukweli kuwa huna mwingine wa kumlaumu isipokuwa namna yako ya kufikiri, misimamo usiyotaka kuipitia upya, mazoea uliyojijengea, hisia unazozipa nafasi, namna unavyojichukulia, namna unavyowachukulia watu, maamuzi madogo madogo unayofanya kila siku na namna unavyojifunza kwa makosa yako mwenyewe na uwezo wako wa kubadilika.
Kinachomtofautisha mtu mzima na mtoto ni uwezo wa kuwajibikia tabia zake —kuwa mkweli, kukubali makosa, kuomba msamaha bila kumbebesha lawama mtu na kulipa gharama ya kubadilika bila kujihurumia.
Kuna mengine umeshindwa kuyasamehe kwa vile tu unaamini wewe ni mtu mwenye hadhi maalum na hupaswi kukosewa. Ukianza kujichukulia kama watu wengine inakuwa rahisi kuelewa kwa nini mtu alikukosea.
Mengine huwezi kusamehe kwa vile wewe mwenyewe hujajisamehe. Unapokumbuka ulichofanya unajisikia hatia isiyoisha, unajutia, unaumia na kujidharau. Huwezi kuwatendea wengine kile usichojitendea mwenyewe. Ukiweza kujisamehe inakuwa rahisi kuona haja ya kuwasemehe na wanaokukosea.
UKIMPENDA mwanao unamfundisha kupenda na wengine. Ukimsikiliza, akaamini anasikilizwa, unamfundisha kusikiliza. Ukimstahi unamfundisha kustahi wengine.
Tunachowafanyia watoto ndicho wanachokuwa. Tunawafundisha namna ya kuwatendea wengine kupitia yale tunayowatendea wao.
Nilimaliza kitabu hiki Januari. Ninachoweza kusema ni kwamba kitabu hiki ni cha maana sana. Kinaeleza, hatua kwa hatua, kwa kutumia ushahidi, namna utamaduni unavyoathiri tabia zetu kuliko maelezo tuliyozoea, “Tumezaliwa hivi. Asili yetu ni vile.”
Kinachambua namna maarifa, akili zetu, fikra zetu, imani zetu, dini zetu, lugha zetu, hisia zetu na hata tunu zetu na maadili vinavyojengwa na utamaduni. Kizuri sana kwa mtu anayechoshwa na kelele za motivational speakers wasioisha kutuambia “wanaume hivi, wanawake hivi” utafikiri hiyo ni asili. Shukrani sana @UONGOZI kwa kitabu hiki.
Usipokuwa tayari kusikiliza stori ndogo ndogo za mwanao leo akiwa mdogo, akikua utatamani akwambie mambo yake muhimu lakini hatokuwa tayari. Unayoyaona madogo leo kwa mtoto ni mambo MAZITO. Sikiliza.
Donald Trump is dragging the United States into a war the American people do not want. Let me be clear: I am opposed to a regime-change war in Iran, and our troops are being put in harm’s way for the sake of Trump’s war of choice.
Read my full statement:
Upande wa Utetezi
Mpare Mpoki naongoza Jopo la Mawakili
Akisaidiwa na;
Wakili Alute Mugwai
Lugemeleza Nshala
Peter Kibatala
Jeremiah Mtobesya (will join later)
Hekima Mwasipu
Gaston Garubindi
Michael Mwangasa
Jebra Kambole
Pasta Kang'oke
Emmanuel chengula
Deogratius Mahinyila
Michael Lugina
Deus Singa
Edward Heche
Sisty Masawe
Jacob Mugendi
Ferdinand Makoe
Paul Kisabo
Ikoti Lissu
Dickson Matata
Maria Mushi
Elisa Kiiza Prosper
Dorice Kafuku
Mathias Mndimi
Andrew Chima
Happiness Michael
Meshack Makadede.
Nashon Nkungu
@officialshakuu Kwanza nimpongeze kwa kuendelea kuwa na msimamo wa kulinda utu na hadhi yake, na ikiwezekana aukimbie huo ushetani. Sheria ya Ndoa inatambua Hilo kama Kosa linaloweza kusababisha kuvunjika Kwa Ndoa.
Niko tayari kumsaidia, kama ataona ujumbe huu aje DM.