No women.
No alcohol.
No drugs.
No smoking.
No partying.
No entertainment.
No video games.
No junk food.
Everything preventing men from growing has been removed at this camp.
Could you do it?
Pongezi za dhati kwa Spika wa Bunge letu, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU). Ushindi huu ni ushuhuda wa kazi kubwa unayoendelea kuifanya na imani wajumbe waliyo nayo juu yako na nchi yetu. Kuchaguliwa kwako pia ni matokeo ya miaka mingi ya kazi, weledi na kujituma katika utumishi wa umma, mfano bora kwa watoto wa kike katika nchi yetu, Afrika na hata nje ya mipaka ya bara letu.
85 percent ya Wauza iPhone
Hawawezi kukwambia SIRI hii
Kwanini?
Subiri nikupe Story,
Nina Ndungu yangu
Mmoja Jinsia (ke)
Kila ikitoka iPhone,
New Model,
Lazima Aidake!
Na anaidaka ikiwa,
Bado haijapoaa!
My Guess Mwisho,
Wa mwezi huu kabla
Haujaisha...
Lazima Anipigie Simu
Anipe Umbea kwamba
Anayo mkononi!
Na anachukua,
The Latest Model
Yenye Pro Max - 1TB
Sasa Bhana!
Kitu anachofanyia hiyo,
Simu ndio Kinachekesha,
Na hapa ndio watu...
Wengi wanafanya,
"Wrong Investment"
oK, Kwanini?
Kuna Sababu kubwa
Kwanini Apple wanatoa
↳iPhone 15 -$799 (128GB)
↳iPhone 15 Plus - $899 (128GB)
Hizi ni kwaajili ya Watu,
Wa kawaida, ambao-
Matumizi yao sio Makubwa...
Kama:
↳Kuchati Na kupiga cha za hapa na pale!
(Na matumizi mengine ya kawaida)
Linapokuja sasa Swala la
(Pro line up);
↳iPhone 15 Pro - $999 (128GB)
↳iPhone 15 Pro Max - $1199 (256GB)
Hapa tunahama kabisa,
Kwenye Matumizi ya,
Kawaida na ndio maana Kuna neno (PRO)
Pro means- For Proffesionals!
Na ndio maana umeona
Kwenye Uzinduzi wame-
Taja watu wa aina Mbili...
-Photographers
-Videographer/Film Maker!
Sasa wewe na kiranga chako,
ili mradi watu wakuone,
Una iPhone Kubwa...
Unaenda Ku-invest More,
Than 4M kwenye Kitu,
Ambacho hukitumii to the Max,
By the way: Kila nikimkuta,
Ndugu yangu yeye ni,
-Snapchat
-Candy Crash Saga...
- Mange Kimambi,
Akisoma Umbea!
Ona sasa 🥲
Anyway: Okoa Pesa zako,
Acha kwenda kwa Trend...
Alafu pia, Dada yangu!
Hizi ni simu hazina Mwisho,
Linda Utu wako! Kuliko Vyote
Ulindavyo!
Yangu ni hayo tu!
Ukitaka kuni-Follow Sawa
Usipotaka Sawa pia!
Ila Tambua utamiss MADINI
ambayo huyapati popote!
AM OUT!
ivi haiwezekani mchina mmoja akija wekeza bongo na sisi aende mbongo mmoja akiwa chini ya ubalozi afanye biashara uko atakaduka uyo mchina akiondoka bongo na mbongo anarudi akifa tunapandisha mbongo mwingine @rollymsouth#mjingatimamu@EfmTanzania@CarolNdosi
kuwatengeneza watu wetu wawezekuwekeza kufanya vitu ndani ya nchi yao bali tunafikiria wakutoka nje wataweza kufanya maisha ya watu wetu kuwa mazur ya kula. Nikweli watapata ajira je muwekezaji hatopeleka faida kwao? Je tumeridhika kila kijana asome apewe ajira na mawazo yao je?
Hii mentality wanandoa wote na wapenzi wanatakiwa wawe nayo sio kwa upande mmoja tu. Huyu dada kiumri anaonekana mdogo ila anaweza kuwafunza hata mashangazi waliomzidi 👏🏿📌