Hello Twitter fam, welcome to Boombuzz team on Boomplay app. Listening to some cool music while creating some buzz and get rewards.
Here is my monthly reward... If you want to join the team, kindly come to my DM asap #ShareMyBuzzReport@BoombuzzGlobal@BoombuzzTZ
Kila siku ni Siku ya Mama! Tazama jinsi Boombuddies wanavyowathamini Akina Mama kwenye jumuiya ya Boomplay Buzz!
*Subscription ya wiki itatumwa ndani ya siku 7.
Ndugu zangu katika Imani ( Muslims )
Msiwe na wasi wala mashaka katika Kutumia Application ya @BoomplayMusicTZ kwani Hata ukiwa wewe ni muislam Safi basi unaweza kutumia Application ya Boomplay kusikiliza Qaswida na Quran Tukufu
Download Leo App yako ya Boomplay
#Boombuzz_Tz inakupatia nafasi nyingine ya kujishindia zawadi katika msimu huu wa Wapendanao 'Valentine's Day. Jishindie zawadi ya dinner voucher ya watu wawili.
Jinsi ya kushiriki, bofya link hapo chini kufahamu utaratibu wote
Hawa ndio wasanii na Albamu zilizofanya vizuri kwa wiki iliyopita kwenye app ya Boomplay🔥.
Endelea kustream Albamu unayoipenda kutoka kwa msanii wako bora kupitia app ya Boomplay .
#HomeOfMusic
Hawa ndio wasanii na Albamu zilizofanya vizuri kwa wiki iliyopita kwenye app ya Boomplay▶🔥.
Endelea kustream Albamu unayoipenda kutoka kwa msanii wako bora kupitia app ya Boomplay ▶.
#HomeOfMusic
Ili kushiriki kwenye challenge hii fuata maelekezo yafuatayo 👇🏽
1. Tembelea ukurasa wa #BoomplayRecapTZ2021 kwenye app ya Boomplay 👉🏿 https://t.co/gwDYqSl9fu
2. Screenshot data ulizozipenda, kuhusu msanii unayempenda kisha post kwenye ukurasa wako
Nani atakuwa Boombuzz Influencer wa mwaka? Njoo Buzz kuangalia Influencers wote 'amazing' na upige kura kwa unaowakubali!
Pakua Boomplay App: https://t.co/VQdPaDTkpE
#BoombuzzInfluencerAwards2021
Mwaka 2021 ndiyo unakatika. Katika kuhakikisha unapata data sahihi, app namba moja ya huduma ya kusikiliza na kupakua muziki barani Afrika
@BoomplayMusicTZ imeachia orodha ya wasanii pamoja na nyimbo zilizosikilizwa zaidi kwa mwaka 2021.