@madeinmusoma Oya hii ilinikuta 2021, dar to mwanz kuna mtu alikuwa anahitaji noti ya shilingi 100 ananunua kwa pesa nyingi tu,ikanibidi nimpigie mdogo wangu ambaye mwezi mmoja mbele anafunga ndoa nikamuomba anikopeshe pesa kiasi cha tshs 250k ambazo pia zilikuwa ni mchango wa harusi aiseee...
@ReganTesla_ Nakumbuka sana hiyo basi niliwambia ndugu zangu wakati nipo sero kama nitafika mwezi wa 3 mwaka huu nikiwa hai basi nitaishi muda mrefu sana hapa duniani siyo mm niliyekata tamaa ya maisha kama kipindi kile aisee๐ฅบ