@hildanewton171 @MarekaMalili @Blesssarai @VanessaMdee@IamBenPol@Roma_Mkatoliki@MauaSama@NavyKenzo sanaa ya bongo imegeuka usanii na imeathir mpaka uongoz wa juu serikalini umekua wa wasanii..km ilivyo baadhi ya viongoz kuendesha nchi kwa kiki #angalia yule jamaa wa Dodoma hats akikamata muuza vitumbua ataita media,na huyu wazir wa mambo ya chumbani!!!!!!!
#Habari:Tanzania imetajwa kuwa ni nchi pekee yenye vivutio vingi vya utalii wa utamaduni kuliko nchi nyingine yeyote.Soma zaidi->https://t.co/6lv3IKBGfy
Lazima watanzania wahoji na wapate majibu ya maswali ya msingi..
Natafuta muandishi wa habari jasiri asimame na kumuuliza Raisi wa Nchi Ndugu @MagufuliJP kwamba ni kwanini.
Tusubiri maafa yatokee ndipo tuchukue michango na rambirambi kwa ajili ya miradi ya serikali?
Hatimaye leo Sep 28 kivuko cha #MVNyerere kimefikishwa nchi kavu baada ya siku 5 za kukinasua kutoka ndani ya maji, aidha Rais Magufuli ametoa laki 4 kwa Watu 588 walioshiriki ktk zoezi hilo tangu Sep 20.#MillardAyoUPDATES