@MundiVir@mangekimambi@HecheJohn@ChademaTZ2@ccm_tanzania Wanashindwa kujua kuwa @ChademaTZ2 imesajiliwa kama chama cha Siasa na siyo Chama cha Harakati, so kuna misingi lazima ifuatwe,kama wanataka Harakati na nginjanginja waje wawaongoze katika hizo harakati naamini watu wapo tayari, siyo kutaka Chadema ifanye kama wanavofikiri wao
Nafurahia uwepo wa TAL na JWH.Wametusaidia sana kupuputisha majani tuliyokua tukizani yanatupatia kivuli kumbe yanazuia mwanga wa jua ambao ungetupa Vitamini D ili mifupa yetu iwe imara zaidi.Mungu awalinde.